Kati ya haya mambo mawili lipi ambalo ni sahihi na jema sana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Je ukikutana na Mke wa Mtu Gesti / Loji ambaye mnajuana ' Kindakindaki ' akiwa anaenda Kuliwa ' Uroda ' na Mwanaume mwingine ( Hawara ) huku Mumewe ukiwa unamjua vyema tu..

1. Ukamwambie Mumewe ili amchukulie Hatua kama za Kumuacha au Kumchinja au Kumpiga Kishalubela / Kikatili kiasi cha Kumtengua Mikono, Miguu na Kuondoa kabisa na Kolomero lake huku akimtenganisha Viungo vyake vyote vya Mwilini?

au

2. Unyamaze ( Uuchune ) tu usimsemee kwa huyo Mumewe na Wewe umwombe ' Penzi ' lake ili nawe uwe unamla tu ' Kisela ' na maisha yaende?

Ukweli ni kwamba nimetoka Kulala Gesti na Demu wangu asubuhi hii hii ya leo na sijaamini kabisa macho yangu wakati Mimi natoka nimepishana na Mke wa Rafiki yangu wa karibu kabisa akiwa anaingia kuliwa ' Uroda ' na Mwanaume mwingine kabisa na kinachoniuma zaidi nimefika Nyumbani ambako siyo mbali pia kwa huyo Jamaa nimemkuta anaosha Vyombo huku anapika Chai yake na nikamuuliza Shemeji ( Mkewe ) yuko wapi kasema ameenda kwa Mama yake mdogo anaumwa huko Mbagala Kuu.

Ndiyo maana sitaki Kuuoa kabisa. Hivi Wanawake mna ' Wadudu ' gani Vichwani mwenu? Kwanini hamridhiki? Mnataka Wanaume wawafanyieni nini labda ili mtulie na Ndoa zenu? Mmerogwa na nani nyie Dada zetu? Hivi humo Mioyoni mwenu mna hata hofu ya Mungu kweli?

Nawasilisha.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Kula nyama nyamaza

Hili ndilo jibu ninalolipenda kwani kwa jinsi alivyo mzuri nahofia naweza kumwambia Jamaa ( Mumewe ) halafu ' akamuua ' bure na Mimi nikamkosa kwani tokea Siku nyingi yupo katika ' radar ' zangu ila nataka nitumie Faida ya Mimi kumuona akiingia Gesti na Dume lingine ili anivulie na Mimi ' Chupi ' na akinikatalia tu ' nalisanua / nakinukisha ' kwa Mumewe huyo na kama noma na iwe noma tu!
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Wanasema kukaa kimya nayo ni busara tosha.

Ila inauma sana Mkuu kuona Mke wa ' Mshikaji ' wako anaenda kabisa ndani Gesti ' Kumeng'enuliwa / Kutinduliwa ' na Njemba ambayo siyo Mumewe kabisa. Kuna muda nikiwaona na kuwafikiria Wanawake huwa nashindwa kabisa kuwatofautisha na Makundi makubwa ya Kigaidi duniani ya Al Qaeda, Janjaweed, ISIS na Al Shabaab kutokana na aina ya ' Ukatili / Ushalubela ' wao.
 
ThugMaster

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,150

Hahaha umenifurahisha sana mkuu, eti ni sawa na makundi makubwa ya kigaidi duniani.
 
OIL CHAFU

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
982
1,000
Angalia madhara ya kila uamuzi.
Ni heri potezea kama vile hujui... Tena huyo huna haja ya kutongoza, lazima atakutafuta tuu akuweke sawa. Na hapo ww ni kusukuma ndani tuu.
 
madawi mart

Senior Member
Nov 27, 2018
177
225
Je ukikutana na Mke wa Mtu Gesti / Loji ambaye mnajuana ' Kindakindaki ' akiwa anaenda Kuliwa ' Uroda ' na Mwanaume mwingine ( Hawara ) huku Mumewe ukiwa unamjua vyema tu..

1. Ukamwambie Mumewe ili amchukulie Hatua kama za Kumuacha au Kumchinja au Kumpiga Kishalubela / Kikatili kiasi cha Kumtengua Mikono, Miguu na Kuondoa kabisa na Kolomero lake huku akimtenganisha Viungo vyake vyote vya Mwilini?

au

2. Unyamaze ( Uuchune ) tu usimsemee kwa huyo Mumewe na Wewe umwombe ' Penzi ' lake ili nawe uwe unamla tu ' Kisela ' na maisha yaende?

Ukweli ni kwamba nimetoka Kulala Gesti na Demu wangu asubuhi hii hii ya leo na sijaamini kabisa macho yangu wakati Mimi natoka nimepishana na Mke wa Rafiki yangu wa karibu kabisa akiwa anaingia kuliwa ' Uroda ' na Mwanaume mwingine kabisa na kinachoniuma zaidi nimefika Nyumbani ambako siyo mbali pia kwa huyo Jamaa nimemkuta anaosha Vyombo huku anapika Chai yake na nikamuuliza Shemeji ( Mkewe ) yuko wapi kasema ameenda kwa Mama yake mdogo anaumwa huko Mbagala Kuu.

Ndiyo maana sitaki Kuuoa kabisa. Hivi Wanawake mna ' Wadudu ' gani Vichwani mwenu? Kwanini hamridhiki? Mnataka Wanaume wawafanyieni nini labda ili mtulie na Ndoa zenu? Mmerogwa na nani nyie Dada zetu? Hivi humo Mioyoni mwenu mna hata hofu ya Mungu kweli?

Nawasilisha.
fala wewe huna akili unadhani hiyo ni dawa?,je unaushahidi wowote acha mizengwe tambua wewe unaongea na rafiki yako umevaa nguo zote tena huna cha kumsaidia mwenzio(huyo dada) anaongea na mumewe hana nguo hata moja kiasi kwamba huwezi eleweka without any proof cha zaidi ni kuonekana unamtaka shemeji yako (ni mzuri )na kujishishia heshma think twice boy,then proud that u a really men,mwanaume halisi sidhani anasifa kama hizo mademu mbona wako wengi yanini uharibu urafiki kisa huyo bitch za mwizi 40 atakamatika tuu kumuona tu ni adhabu kwake.
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,276

Neither of the TWO
 
Hasira za nini? Kwani hapa tunagombana? au unamalizia Hasira zao za ' Kuchapiwa ' Mkeo Kwangu? Pumbavu.
 
nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
5,095
2,000
ni mke wake wa ndoa au kajimilikisha zigo?...kukaa kimya ndio busara zaidi, mpotezee tuu.....kinyaa
 
namlexink

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,426
2,000
ukinyamaza kesho utamkuta na mwanaume mwingine na itakuuma zaidi, utajuta bora nawe ungejilia vyako.

Afu yule mwanaume uliyemuona naye guest ni MIMI. So tushirikiane mkuu.
kaka hukua wewe, Gentamycine aliniona mimi na huo mzigo, au tunafanana kwa Kasumba?:D:D
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom