Kama mada inavyojieleza,
Miezi kadhaa iliyopita nlikutana na mdada ambae ni mrembo kweli kweli, nikamtia vocal kanisumbua sumbua mwisho wa siku akanikubali.
Nikawa na hamu kweli kweli ya kula...
Kuna Mlinzi mmoja wa Rais hapa Barani Afrika ( Jina la hiyo nchi nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja ) nimemuona na Yeye ' akimuigiza ' Bosi wake ( namaanisha Rais ) alipokuwa Kanisani ambapo...
Habari gani wakuu?
Natumai wote mu wazima. I ain't your mama ndio kichwa cha uzi huu hapa.
Ni hivi, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada mmoja hivi kwa zaidi ya mwaka na mambo yamekua...
Girlfriend/Boyfriend wengine ni kama bangi unampenda lakini huwezi kumpeleka Kwa mzazi wako.
Je ulishawahi kuwa na aina hii ya Girlfriend/Boyfriend?
Zero IQ
Salaam wana jamvi!!
Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto.
Nirudi...
Wadau nmegundua asilimia ya wanawake 80 hawapendi kabisa kutumia tube, soksi au condom. Hawapendi. Mimi nmekuwa nikigombana nao sana kuanzia ma EX wangu na hata wanaokuja patikana wapya. Yaani...
Licha ya kuwa na Mpenzi mmoja ambae ni main ,kuwa mkweli hapa unamiliki wapenzi wangapi?
Binafsi Licha ya kuwa na Yule pain killer Nina wapenzi wangu kadhaa mpaka sasa wakupasha kiporo idadi ni...
Wakuu JF,
Kwanza kabisa, nampa pole Boss Ruge na nimuombe awe na uvumilivu kwa sababu akianza kumfuatilia huyo Zam itazidi kumuumiza sana, huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika...
Salaam wana jamvi!!
Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto.
Nirudi...
L, kila nikikukumbuka moyo wangu unakosa amani.
Wewe ulikuwa mwanamke mwenye roho ya kuvumilia mengi, Nilikuchukulia simple sana nkakufanyia kila aina ya maudhi.
Kila nilipoanzisha mada yenye...
Kwa mfano mchimba madini anakomaa kila mgodi ili apate madini.atatahama kila mgodi lengo Ni kupata mali.sasa je tunaofanya umalaya unataka kila mwanamke umpitie ili ugundue nini?kwa sababu...
Kuna bidada mmoja analalamika sana kwamba wanaume wa jamiiforum hawajui kutongoza, lakin anasahau kwamba kila mwanamke kuna vitu anavyovipenda, ambavyo ni tofaut na mwingine. Kwa mantik hiyo...
Ama kweli wahenga waliona mbali sana, ndiyo maana wakatoa misemo mingi sana ya kuelimisha na kuionya jamii. Mfano:- Ujinga ni mzigo.
Yaani unaacha kukimbia km 7.5 kwa kukukuruka na mkeo unaenda...
Mimi nibkijana naishi nyumbani kwa wazazi ila katika harakati za ujana nilijikuta nazaa na mdada mtaa jirani. Sasa yapita miezi 3 tangia ajifungue ameshaanza usumbufu eti nikamzibue mtoto masikio...
MWANAUME ame umbwa na koromeo. Ndiyo sentesi utakayoisikia mitaani kunapokuwa na mjadala unaohusisha suala la uvumilivu, kubeba siri na kukubaliana na matokeo yoyote! Kwamba inaaminika mtoto wa...
Wanawake wanaompenda mwanamme kwa kila hali ni wachache sana, wengi wa miaka hii wanataka pesa au uwezo wa maisha ya mwanaume na sio upendo wa kweli.
utakuta mwanamke anataka kuolewa na mwanaume...
Angalia umri wako na status yako saivi
Wengi mnaojitambua saivi ni mlio chuo, mmemaliza na wengine mliopo na maisha yenu najua mpo kwenye age ya 20,21,2,3,4,5,6,7,8,9,30
Age yako usidharau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.