Tuwe wakweli hapa mpaka sasa unamiliki wapenzi wangapi?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Licha ya kuwa na Mpenzi mmoja ambae ni main ,kuwa mkweli hapa unamiliki wapenzi wangapi?

Binafsi Licha ya kuwa na Yule pain killer Nina wapenzi wangu kadhaa mpaka sasa wakupasha kiporo idadi ni 5 Kwa hapa Dodoma, 2 morogoro Na 4 wako dar .

Jumla ni 11 hawa ni wale nipo kwenye mahusiano nao almost mwaka mmoja Na zaidi na tunaendelea mpaka sasa, wale wa chap chap sihesabii wale wa kukutana nao mwezi ukipiga mara 2 au 3 unapotezea mpaka siku ukiwa Na genye hawapo kwenye hesabu.

Cc_Zero IQ
 
Upo na uhakika hao 11 plus pain killer, wewe ndo mmiliki? Au upo kwenye sehemu ya umiliki.
Licha ya kuwa na Mpenzi mmoja ambae ni main ,kuwa mkweli hapa unamiliki wapenzi wangapi?

Binafsi Licha ya kuwa na Yule pain killer Nina wapenzi wangu kadhaa mpaka sasa wakupasha kiporo idadi ni 5 Kwa hapa Dodoma, 2 morogoro Na 4 wako dar .

Jumla ni 11 hawa ni wale nipo kwenye mahusiano nao almost mwaka mmoja Na zaidi na tunaendelea mpaka sasa, wale wa chap chap sihesabii wale wa kukutana nao mwezi ukipiga mara 2 au 3 unapotezea mpaka siku ukiwa Na genye hawapo kwenye hesabu.

Cc_Zero IQ
 
Mkuu pole sana, UNAPOKOSEA na ulipokosea ni pale ulipoanza kujiuliza eti sijui nakosea wapi"
Acha ujinga hakuna sehemu unapokosea, Kaa na mkeo hivo hivo inamfurahisha Mungu,
Mkuu naomba usiige udhaifu wa hawa jamaa wanaoomba vikokoteo vya idadi.
You are always gentleman.
QUOTE="Ibofwee, post: 30647468, member: 426030"]Mi nammilik wife tu sina chepuko, sijui nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Licha ya kuwa na Mpenzi mmoja ambae ni main ,kuwa mkweli hapa unamiliki wapenzi wangapi?

Binafsi Licha ya kuwa na Yule pain killer Nina wapenzi wangu kadhaa mpaka sasa wakupasha kiporo idadi ni 5 Kwa hapa Dodoma, 2 morogoro Na 4 wako dar .

Jumla ni 11 hawa ni wale nipo kwenye mahusiano nao almost mwaka mmoja Na zaidi na tunaendelea mpaka sasa, wale wa chap chap sihesabii wale wa kukutana nao mwezi ukipiga mara 2 au 3 unapotezea mpaka siku ukiwa Na genye hawapo kwenye hesabu.

Cc_Zero IQ
0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom