Angalia umri wako na status yako saivi

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
Angalia umri wako na status yako saivi

Wengi mnaojitambua saivi ni mlio chuo, mmemaliza na wengine mliopo na maisha yenu najua mpo kwenye age ya 20,21,2,3,4,5,6,7,8,9,30

Age yako usidharau lakini kitu nataka kusema epuka mapenzi ya mme wa mwanamke mwezio.

Nimekutana na wadada wengi sana mpo kwenye mahusiano na wa ume za watu na mme relax na mna enjoy hamgeuki na wala hamuambiliki.

My dia hivi mwanaume anajua anapata shida sana kumfanyia interview mtu wa kumuoa

Yaani mwanaume mpaka anakuja kukuoa tambua kabisa amejilizisha mambo mengi sana kwako

Sasa mwanaume anapokuja kwako na kukutongoza ukiwa binti hujui ndoa na wewe unatarajia ndoa kwanza

Anakuja anajua kabisa kua hana sifa za kua na wewe kwa sababu tiaria ameoa kwa hiyo lazima age na gia ya

Kukujali, kukuhonga, kukutunza kukupa mtaji, kukupa unachotaka ili apate nafasi ya wewe kumsikiliza na hapo lazima utasikia anamponda mke wake ooh yule mkorofi sana

Nililazimishwa tu kumwoa baada ya kuzaa naye atasema ooh yaani hajui mapenzi kabisa yaani najua kumwoa yule mwanamke

Sasa haya maneno yatakupa kiburi na kuona kama sasa umepeta mtu na anavyokujali sasa upo lazi kumtukana kijana ambaye yupo single kisa upo na huyo mme wa mtu

My dia ccta umepotea sana na nataka nikufungue macho leo

Kama unavyowajua wanaume ni watu hawaambiliki na hawapingwi na mtu kwa nini sasa kama kweli hamupendi huyo mwanaume asimufukuze akakuoa wewe?
Kwa nini asimurudishe kwao ili akuoe wewe?

Akili yako unaipeleka wapi unashindwa kujiuliza mambo ya msingi eti unadanaganywa na wewe unakubali
Wakati mke wake ndio mwanamke pekee kati ya wanawake wote aliopita nao alimwona bora akatoa mahari akafunga ndoa akamzalisha wakajenga wakanunua gari leo wewe unadanganywa et nini nini nini na hivyo vipesa sasa unavimba mpaka unajikuta unachukua no ya mke wake unamtukana.

Hivi huelewi kwamba kama saivi upo peke yako yupo na mke wake tena kamlalia mapajani wanaangalia tv na usiku tunda la ndoa linahusika na wewe akikuona anaendelea kukupa ujinga oo jana tuligombana sana na mke wangu mpaka akazima simu ooh mara yule mshezi sana

Mdogo wangu unapotezewa muda
 
Ujumbe mzuri sana ...Lakini sijui kama watakuelwa .--- kwa maana sababu kubwa inayo changia Africa iweze kuwa na vijana wanaoshiriki katika Tabia za umalaya ni Hali ngumu ya uchumi ......

Imagine Mmoja kati ya wanawake hao unaowashauri Ameshamaliza chuo " Amerudi nyumbani yupo yupo tu hana ajira .. Ameshazurula Sana kuomba kazi lakini amekosa " Amezunguka sana kwa ndugu na jamaa kuomba walau mkopo ili aweze kufanya biashara lakini Amekosa " --- halafu akiwa bado katika sinto fahamu dhidi ya hatima ya maisha yake ghafla anajitokeza mwanaume mwenye sifa hizo ulizo zitaja Na kuanza kumpatia ahadi kede kede mwanaume ambaye anaanza kutekeleza robo 3 ya ahadi zote anazo mpatia huyo binti .....

Mmmh lazima avuliwe mtu pichu tu (ashakum si-matusi )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja
 
Mwanamke yeyote anayejitambua na kujua thamani yake kama mwanamke tena mwenye hofu ya kiMungu ndani yake,hawezi date mume wa mtu no matter what"...ukishajiona tuu unakuwa na mahusiano ya kimwili(hapo hakuna mapenzi)na mume wa mwenzako aiseee inabidi ufanye appointment na Mungu immediately akutoe hapo ulipo,.unajitia laana na kujitafutia kufa tuu mapema kwa stress.
 
Angalia umri wako na status yako saivi
Wengi mnaojitambua saivi ni mlio chuo, mmemaliza na wengine mliopo na maisha yenu najua mpo kwenye age ya 20,21,2,3,4,5,6,7,8,9,30
Age yako usidharau lakini kitu nataka kusema epuka mapenzi ya mme wa mwanamke mwezio..
Nimekutana na wadada wengi sana mpo kwenye mahusiano na wa ume za watu na mme relax na mna enjoy hamgeuki na wala hamuambiliki..
My dia hivi mwanaume anajua anapata shida sana kumfanyia interview mtu wa kumuoa
Yaani mwanaume mpaka anakuja kukuoa tambua kabisa amejilizisha mambo mengi sana kwako
Sasa mwanaume anapokuja kwako na kukutongoza ukiwa binti hujui ndoa na wewe unatarajia ndoa kwanza
Anakuja anajua kabisa kua hana sifa za kua na wewe kwa sababu tiaria ameoa kwa hiyo lazima age na gia ya
Kukujali, kukuhonga, kukutunza kukupa mtaji, kukupa unachotaka ili apate nafasi ya wewe kumsikiliza na hapo lazima utasikia anamponda mke wake ooh yule mkorofi sana
Nililazimishwa tu kumwoa baada ya kuzaa naye atasema ooh yaani hajui mapenzi kabisa yaani najua kumwoa yule mwanamke
Sasa haya maneno yatakupa kiburi na kuona kama sasa umepeta mtu na anavyokujali sasa upo lazi kumtukana kijana ambaye yupo single kisa upo na huyo mme wa mtu
My dia ccta umepotea sana na nataka nikufungue macho leo
Kama unavyowajua wanaume ni watu hawaambiliki na hawapingwi na mtu kwa nini sasa kama kweli hamupendi huyo mwanaume asimufukuze akakuoa wewe?
Kwa nini asimurudishe kwao ili akuoe wewe?
Akili yako unaipeleka wapi unashindwa kujiuliza mambo ya msingi eti unadanaganywa na wewe unakubali
Wakati mke wake ndio mwanamke pekee kati ya wanawake wote aliopita nao alimwona bora akatoa mahari akafunga ndoa akamzalisha wakajenga wakanunua gari leo wewe unadanganywa et nini nini nini na hivyo vipesa sasa unavimba mpaka unajikuta unachukua no ya mke wake unamtukana.
Hivi huelewi kwamba kama saivi upo peke yako yupo na mke wake tena kamlalia mapajani wanaangalia tv na usiku tunda la ndoa linahusika na wewe akikuona anaendelea kukupa ujinga oo jana tuligombana sana na mke wangu mpaka akazima simu ooh mara yule mshezi sana
Mdogo wangu unapotezewa muda
Ata upeperushe ndege tutawashughurikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzuri sana ...Lakini sijui kama watakuelwa .--- kwa maana sababu kubwa inayo changia Africa iweze kuwa na vijana wanaoshiriki katika Tabia za umalaya ni Hali ngumu ya uchumi ......

Imagine Mmoja kati ya wanawake hao unaowashauri Ameshamaliza chuo " Amerudi nyumbani yupo yupo tu hana ajira .. Ameshazurula Sana kuomba kazi lakini amekosa " Amezunguka sana kwa ndugu na jamaa kuomba walau mkopo ili aweze kufanya biashara lakini Amekosa " --- halafu akiwa bado katika sinto fahamu dhidi ya hatima ya maisha yake ghafla anajitokeza mwanaume mwenye sifa hizo ulizo zitaja Na kuanza kumpatia ahadi kede kede mwanaume ambaye anaanza kutekeleza robo 3 ya ahadi zote anazo mpatia huyo binti .....

Mmmh lazima avuliwe mtu pichu tu (ashakum si-matusi )

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhambi haina excuse na mshahara wa dhambi ni mauti. hii hoja ni ya kipuuzi na haina mashiko,, ni sawa na kwenda kuiba ukisingizia unashida ya ulichokiiba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwanamme nimesoma, lakini umeongea as if kuna watu unawaona 100% umesema ukweli.
Sisi wanaume akili zetu tunazijua wenyewe.
Hasa hizi sentence.
'mwanamke mwenyewe nlmuoa kwa kulazimishwa na wazazi'
Mwanamke mwenyewe mshamba Yule nlipata kijijini hajui mapenzi na mvuto hana'
'mwaanmke yule hana lolote, mchafu mno'

sawa shosti karibu tena
 
Tatizo la watu ..ndoa imewekewa lengo kubwa more than life ..my advice kwa wanawake sio lazima uolewe ndo ufu-fill lifetime goal..ndoa sio lazima kwenye maisha maisha ni more than that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATA USEME VIPI HAWAKUELEWI,WANAWAKE WA SASAHV NJAA INAFANYA WANAJALI PESA TUU,YANI KAMA WANAJIUZA TUU TOFAUTI YAO HAWAJIPANGI BARABARANI.

Write your reply...
 
Mungu tu aendelee kutulinda na kutuepushia ukimwi.

Trust me kila mwanaume ni Mme wa MTU haijalishi kaoa au hajaoa.

Ndoa ni changa la macho
Siku hizi unakuta kijana hajao ana wanawake wa 4 na wote hawajuwani.

Mwanaume anajua kuwapanga na hawajawai kugongana, kila MTU anahudumiwa kivyake.

Hao wanawake ambayo wako kwa huyo kijana, pembeni wana nichepuko

Na hiyo michepuko Nayo INA michepuko pembeni yaani ni chain.

Hakuna watu Malaya kama wake za watu, wao wanachoogopa ni ukimwi sometimes. Coz hana cha kupoteza. Tofauti na sie tunaoogopa kuhesabiwa wanaume na kupanuliwa uke kabla ya ndoa.
Mtoto anae Mme anae kila Siku wanakunjana akienda job wanamkunja ofisini na kwenye packing akija Mme nae mme anachomeka no difference.

Indirectly kila MTU ni Mme/Mke wa MTU. Ni kuomba update mwenye hofu ya mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom