Kisa cha Ruge na Historia ya Maisha yangu

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,069
Wakuu JF,

Kwanza kabisa, nampa pole Boss Ruge na nimuombe awe na uvumilivu kwa sababu akianza kumfuatilia huyo Zam itazidi kumuumiza sana, huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika. Nina imani kuwa Boss alimpenda sana huyu mwanamama anayejiita Queen of Host The Bongo movie, ambapo nafasi hiyo kaipata siyo kwa nguvu yake tu bali mtu wa maana nyuma yake alikuwepo, sema shida ya wanawake husahau walipotoka, wakipata umaarufu wao radhi kukuhadhirisha bila kujali nafac yako mwanaume ambayo una play part kwake.

Ruge kile unapitia sasa hata mimi nilipitia, sema katika sura tofauti, nakumbuka mara baada mpenzi wangu ambaye yupo humu JF kubeba mimba huku nikiamini mimi ni baba kijacho. Bac nili play part as a man ambaye soon nitaitwa baba nikijua safar ndiyo imeanza hivyo, nikiamini Mungu amenipa nafac ya kuujenga mji mpya na wenye nguvu.

Baada ya muda flan mpenz wangu alijifungua salama nikafurahi tukiwa kama familia, tukasema "THE GREAT LION HAS BORN" maana ni dume alizaliwa. Lakini mwisho wa siku mwanamke wangu akapona, na ikawa tunaangalia uwezekano wa kufunga ndoa, ili tuishi kihalali.

Kwa kweli mwanamke huyo akaanza kua mzito kwenye kushuhulikia taratibu za pamoja hasa mambo ya mafunzo ya ndoa kanisani, maana tulishapeleka majina yetu. Maana hivi ndiyo vitu vya muhimu katika kujiandaa kuibariki ndoa, kuliko kufikiria sana ma sherehe sherehe.

Kuna kipindi mwanamke huyo alikuja kumuambia mama yake kwamba mtoto siyo wa kwangu na hajui itakuaje huko mbeleni na anaogopa ndoa ifungwe, kwan moyo wake unamsuta kwa kucheat. Na nilihic ndoto kuyasikia hayo kutoka kwake.

Hapa ninapoongea sijafunga ndoa nae, kila mtu na maisha yake, maana ilinibidi nipotee kabisa, na iliwaogopesha sana familia yangu. Na imebaki hivi hivi, hakuna kinachoeleweka, mama mkwe akiniangalia huwa kama anataka kulia kabisa, hajawah kunieleza chochote. Now niko na mshe zangu.

Kikubwa mimi namshukuru Mungu maana yeye ndiyo muweza wa yote, Nililia sana, mpk kesho nikikumbuka nitalia vile vile. Ila itafika wakati kidonda changu kitapona tu kwa kuumizwa na kubondwa bondwa ndani ya moyo wangu. Maisha lazima yaendelee, wapo wataomcheka Ruge lkn Boss ameumizwa na jambo lisikie kwa mchiz mwingine, omba yasikukute wazee.

Men out there TUMUOMBEE mwenzetu awe MTULIVU na SUBIRA, kwani atapata mwingine aliye wa kweli.
 
Moja ya makosa makubwa wabayofanga wazaz lipo hapa,unaruhusuje mwanao wa kike akaishi na mwanaume bila ndoa?
Unakubali VIP mwanaume au mwanamke mzae bila kufunga ndoa?
Pole kwa iliyokutokea Ila funzo ni kwamba hakuna kitu kibaya kama kuishi na mwanaume au mwanamke kwa kujaribu ndoa,ukitaka kujarib jaribun huko barabaran lakin sio kuishi nae, mnasahau huwez kumjua MTU unaeishi nae chini ya miaka minne?? Kufahamina na kukubaliana mpka kuzaa sio kipimo cha kumjua MTU na kumwelewa,mnakimbilia kuishi na watto wa watu matokeo yake wanazalishwa na vidume vingine then mnabak kulalamika.

Mwanaume mwenye busara hawez kukaa na mtoto wa kike bila ndoa,maana hatichelewag kugeuka. Unamtumia baadae tunawatupa halaf wakifanya wao tunaona wanatuonea.

Jifunzeni kutoka kwa waliowazid na mtumie makosa ya watu wengine kujifunza. Pole tena kwa yaliyokukuta kiongoz
 
Wakuu JF,

Kwanza kabisa, nampa pole Boss Ruge na nimuombe awe na uvumilivu kwa sababu akianza kumfuatilia huyo Zam itazidi kumuumiza sana, huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika. Nina imani kuwa Boss alimpenda sana huyu mwanamama anayejiita Queen of Host The Bongo movie, ambapo nafasi hiyo kaipata siyo kwa nguvu yake tu bali mtu wa maana nyuma yake alikuwepo, sema shida ya wanawake husahau walipotoka, wakipata umaarufu wao radhi kukuhadhirisha bila kujali nafac yako mwanaume ambayo una play part kwake.

Ruge kile unapitia sasa hata mimi nilipitia, sema katika sura tofauti, nakumbuka mara baada mpenzi wangu ambaye yupo humu JF kubeba mimba huku nikiamini mimi ni baba kijacho. Bac nili play part as a man ambaye soon nitaitwa baba nikijua safar ndiyo imeanza hivyo, nikiamini Mungu amenipa nafac ya kuujenga mji mpya na wenye nguvu.

Baada ya muda flan mpenz wangu alijifungua salama nikafurahi tukiwa kama familia, tukasema "THE GREAT LION HAS BORN" maana ni dume alizaliwa. Lakini mwisho wa siku mwanamke wangu akapona, na ikawa tunaangalia uwezekano wa kufunga ndoa, ili tuishi kihalali.

Kwa kweli mwanamke huyo akaanza kua mzito kwenye kushuhulikia taratibu za pamoja hasa mambo ya mafunzo ya ndoa kanisani, maana tulishapeleka majina yetu. Maana hivi ndiyo vitu vya muhimu katika kujiandaa kuibariki ndoa, kuliko kufikiria sana ma sherehe sherehe.

Kuna kipindi mwanamke huyo alikuja kumuambia mama yake kwamba mtoto siyo wa kwangu na hajui itakuaje huko mbeleni na anaogopa ndoa ifungwe, kwan moyo wake unamsuta kwa kucheat. Na nilihic ndoto kuyasikia hayo kutoka kwake.

Hapa ninapoongea sijafunga ndoa nae, kila mtu na maisha yake, maana ilinibidi nipotee kabisa, na iliwaogopesha sana familia yangu. Na imebaki hivi hivi, hakuna kinachoeleweka, mama mkwe akiniangalia huwa kama anataka kulia kabisa, hajawah kunieleza chochote. Now niko na mshe zangu.

Kikubwa mimi namshukuru Mungu maana yeye ndiyo muweza wa yote, Nililia sana, mpk kesho nikikumbuka nitalia vile vile. Ila itafika wakati kidonda changu kitapona tu kwa kuumizwa na kubondwa bondwa ndani ya moyo wangu. Maisha lazima yaendelee, wapo wataomcheka Ruge lkn Boss ameumizwa na jambo lisikie kwa mchiz mwingine, omba yasikukute wazee.

Men out there TUMUOMBEE mwenzetu awe MTULIVU na SUBIRA, kwani atapata mwingine aliye wa kweli.

Mimi nilistaafu rasmi kuwapenda na kuwaamini Wanawake hasa wa ' Kitanzania ' mwaka 2006 na tokea hapo hadi sasa Mapenzi yangu Kwao 100% ni Maigizo / Kaole tupu. Huwa nikiletewa na Rafiki zangu Kadi zao za michango yao ya Harusi huwa najitutumua kuwachangia lakini moyoni huwa nawaonea mno huruma kwani huwa najua kuwa kwa aina ya Wanawake wa ' Kidijitali ' wa Kitanzania hizo Ndoa zao haziwezi kudumu na ukweli huja kutokea hivyo.

Siwaogopi ' Magaidi ' ila nina waogopa sana Wanawake. 90% ya Ndoa zote za Marafiki zangu nilizohudhuria sasa zimeshavunjika na kuna ' Mashemela / Mashemeji ' zangu Watatu nakumbuka nimeshawahi kugongana nao ' Gesti / Loji ' wao wakiwa wanaenda kupambana na ' Mikuyenge Michepuko ' yao huku Mwanamume kama kawaida yangu nikiingia kuifanyia ' Oparesheni ' ya Kibaiolojia ' Mbunye ' ila kwa kuwatunzia Siri hadi leo hii sijawaambia lolote hao Mabwana zao wa Ndoa ambao ni Marafiki zangu wakubwa mno.

Poleni sana Wanaume mnaopoteza muda wenu Kuoa kwani mmeamua rasmi ' Kujilipua '.
 
Ila kumbuka ruge ana watoto wengine nje ya wale wa zamaradi!!
Na mpaka amezaa nae watoto wawili kwanini asingeoa kabisa???

Ruge mwanaume mwenzangu ila kwa hili hapana aiseee,
Mwanamke amekuzalia watoto wawili bado hutaki kuoa!!!!
Huu mwezi wanaume tumechoreshwa sana, alianza yule mwingine kule!
 
Mimi nilistaafu rasmi kuwapenda na kuwaamini Wanawake hasa wa ' Kitanzania ' mwaka 2006 na tokea hapo hadi sasa Mapenzi yangu Kwao 100% ni Maigizo / Kaole tupu. Huwa nikiletewa na Rafiki zangu Kadi zao za michango yao ya Harusi huwa najitutumua kuwachangia lakini moyoni huwa nawaonea mno huruma kwani huwa najua kuwa kwa aina ya Wanawake wa ' Kidijitali ' wa Kitanzania hizo Ndoa zao haziweze kudumu na ukweli huja kutokea hivyo.

Siwaogopi ' Magaidi ' ila nina waogopa sana Wanawake. 90% ya Ndoa zote za Marafiki zangu nilizohudhuria sasa zimeshavunjika na kuna ' Mashemela / Mashemeji ' zangu Watatu nakumbuka nimeshawahi kugongana nao ' Gesti / Loji ' wao wakiwa wanaenda kupambana na ' Mikuyenge Michepuko ' yao huku Mwanamume kama kawaida yangu nikiingia kuifanyia ' Oparesheni ' ya Kibaiolojia ' Mbunye ' ila kwa kuwatunzia Siri hadi leo hii sijawaambia lolote hao Mabwana zao wa Ndoa ambao ni Marafiki zangu wakubwa mno.

Poleni sana Wanaume mnaopoteza muda wenu Kuoa kwani mmeamua rasmi ' Kujilipua '.
Bora uwaambie hao wana, otherwise ww n snitch
 
Hata kama ana watoto wa nje, boss kajitoa sana kwa mama viwili, kila kitu anapewa, Zam ubinafsi na kutaka fame, ndio kaamua kuvipa vipaumbele kwenye maisha yake
 
Bora uwaambie hao wana, otherwise ww n snitch

Nimefunzwa na nimefunzika Mkuu Kimaadili hivyo sitothubutu kuwaambia hiyo Siri hawa Marafiki zangi na nitakaa nayo moyoni hadi pale ' Israeli ' atakapofanya yake Kwangu siku itakapowadia.
 
Back
Top Bottom