Ni ujinga kwa mwanume kumuuacha mke kitandani na kwenda mazoezini alfajiri. Hujui 6×6 ni sawa na kukimbia km7.5?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,017
2,000
Ama kweli wahenga waliona mbali sana, ndiyo maana wakatoa misemo mingi sana ya kuelimisha na kuionya jamii. Mfano:- Ujinga ni mzigo.

Yaani unaacha kukimbia km 7.5 kwa kukukuruka na mkeo unaenda kando ya barabara unakimbia km 1.5 !!!!
Shituka ewe mwanaume, amka, gym unayo hapo kitandani. Itumie vizuri utoke jasho uchome sukari na mafuta mwilini.

Asanteni.
 

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
1,040
2,000
Kama kuna kwa ukweli hivi ndani yke maana mwanaume ukiendekeza sana hizi mambo lazma upungue kidogo
 

MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,172
2,000
oa kwanza uone kama kama utaweza kila siku.... ukipata mwanamke mara1 kwa mwezi unajiona shababii

Kuna siku za mazoezi ya jumla, inakupa stamina, nguvu na uimara wa mashine...
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom