Mdada kunuka choo haja kubwa ni kutozingatia usafi au ndo uasilia tu?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kama mada inavyojieleza,

Miezi kadhaa iliyopita nlikutana na mdada ambae ni mrembo kweli kweli, nikamtia vocal kanisumbua sumbua mwisho wa siku akanikubali.

Nikawa na hamu kweli kweli ya kula nae tunda, Mungu si athumani Jana mtoto kaibuka maskani. Baada ya pilika pilika za hapa na pale muda wa mechi ukawadia tukaingia uwanjani. Kiukweli mtoto yuko safi tu papuchi iko safi sana.

Sasa kilichonikata stimu ni baada ya kumgeuza na kumweka style ya mbuzi kagoma kwenda/dog style, asee nilikutana na harufu ya mavi, kiukweli sikutegemea mdada mrembo kama yule awe vile, nilipiga ile style kama dakika 2 nikaghairi kuendelea nayo.

Nilishindwa kumwambia pale pale na hata sasa sijui nianzaje kumwambia kwamba kwa ini ananuka mavi kiasi kile.

Nishaurini jamani nianzaje anzaje kumwambia ili asijisikie vibaya ili next time akija nienjoy style zote nitakazomuweka.

Ushauri please.

NB: Sina nia ya kudhalilisha wanawake
 
Huyo ni mtu mzima ujue,, kwanini sa anuke m, avi au ndo ile badala ya kutumia mtandao wa voda we ukaenda tigo maana ndo the only thing that i can think of kitachofanya harufu iwepo.


Na kama si hivyo kwa upande wa ushauri "nadhani huwezi kumchana makavu" lakini waweza kusikilizia game inayofuatilia pia ujionee itakuaje kama hali ndo vile Vile uachane nae tu basi.
 
Huyo anatatizo la kutomaliza haja,yaani akienda kujisaidia huinuka kabla hajakamua chote.

Pia,kuna wakati mwili ukakuwa na reaction katika digestion system na kukuta siku fulani fulani haja ikawa inanuka sana kuliko siku zingine,hasa pale anapo kuwa kachelewa kupata haja.

Mshauri mnapoingia chumbani,atumie sabuni kuosha sehemu yake ya nyuma.
 
Huyo ni mtu mzima ujue,, kwanini sa anuke m, avi au ndo ile badala ya kutumia mtandao wa voda we ukaenda tigo maana ndo the only thing that i can think of kitachofanya harufu iwepo.


Na kama si hivyo kwa upande wa ushauri "nadhani huwezi kumchana makavu" lakini waweza kusikilizia game inayofuatilia pia ujionee itakuaje kama hali ndo vile Vile uachane nae tu basi.
kama alihama mtandao, mhusika kwanini hakustuka?
 
Watu wengi hawapendi kutumia maji wakati wa kuchamba, masista wengi wana tumia vikaratasi vile, mi kila siku nasema, vile vidude havisafishi lile eneo ipasavyo, madhara yake ndio Kama hayo sasa, sio huyo tuu wengi jombaa wengi hasa huko mijini, unakuta toilets hazing maji watu wanashinda na kinyesi siku nzima, wamevaa nadhifu, ofisi zina viyoyozi lakini ndani ya pichu zao kuna chembechembe za nnyaa...Kama kuna niliyemkera tusameheane bure tu, hakuna namna.......
 
Hiyo ipo sana hasa kwa wanawake mabonge, kabla ya kufanya nae uwe unachukua brash unasugua kwenye mstari wa ikweta na umwambiae awe anafanya hivyo then unakuka mzigo tu fresh. Usisahau kusugua kwa kutumia sabuni.
 
Back
Top Bottom