Hivi tunafanya umalaya ili tugundue Nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,557
2,000
Kwa mfano mchimba madini anakomaa kila mgodi ili apate madini.atatahama kila mgodi lengo Ni kupata mali.sasa je tunaofanya umalaya unataka kila mwanamke umpitie ili ugundue nini?kwa sababu nachojua Mimi raha Ni ile ile wanawake Ni walewale hawana tofauti tamaa inatoka wapi sasa.mwanaume mmoja unawezaje kuwa na wadada zaidi ya wanne unatafuta Nini Kama sio umaskini,magonjwa,dhambi na mwisho tunakuzika mapema.
 

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,458
2,000
Kwa mfano mchimba Kmadini anakomaa kila mgodi ili apate madini.atatahama kila mgodi lengo Ni kupata mali.sasa je tunaofanya umalaya unataka kila mwanamke umpitie ili ugundue nini?kwa sababu nachojua Mimi raha Ni ile ile wanawake Ni walewale hawana tofauti tamaa inatoka wapi sasa.mwanaume mmoja unawezaje kuwa na wadada zaidi ya wanne unatafuta Nini Kama sio umaskini,magonjwa,dhambi na mwisho tunakuzika mapema.
kijana mdogo chama cha wazee ndiô maana ata uwezo wako wa kutafakari mambo mdogo sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom