Hizi Taarifa zimewafurahisha wanawake wengi EX- galfriend wangu kanitafuta kwa Bashasha Baada ya kuzisikia

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,411
2,000
Wadau nmegundua asilimia ya wanawake 80 hawapendi kabisa kutumia tube, soksi au condom. Hawapendi. Mimi nmekuwa nikigombana nao sana kuanzia ma EX wangu na hata wanaokuja patikana wapya. Yaani Condom wanazichukia sana wanadai zinawachubua, zinapunguza utam n.k

Binafsi mimi nipo tayari kuahirisha mechi kama hamna ndom.hata tupime mara mia sitembelei RIM hata siku moja.

Sasa hizi habari ZILIZOTANGAZWA NA BBC KUWA WAATHIRIKA WA UMEME/NGOMA WAKIPANDIKIZWA UBOO WANAPONA. Zimewagusa wanawake wengi sana.

Wengi waliokuwa magalfriend wananitumia texts wakinambia sasa nisiwabanie maana hawana wasiwasi watapandikizwa Uboo so niache kuwa mwoga mtoto wa kiume.niwatafute sasa niwachape nao LIVE.

Nmewaza hivi na huku TZ inawezekana kuwapandikizia watu Uboo wakapona ukimwi? Hapa sasa wadada si watakuwa wanajiachia tu?coz wanajua uboo upo tu mwingi?

Anyway...mimi nmesema siachi kutumia kinga hata iweje.wacha wanaotegemea uboo waendelee tu.mimi siuzi mechi...sitembelei Rim hata iweje
 
Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
568
1,000
Jifunze uandishi mzee.
Heading ndefu sana.
Pia jifunze kupangilia mawazo yako vizuri.
Mwisho. Asante kwa taarifa.
 
Mr. Django

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
1,821
2,000
Wadau nmegundua asilimia ya wanawake 80 hawapendi kabisa kutumia tube, soksi au condom. Hawapendi. Mimi nmekuwa nikigombana nao sana kuanzia ma EX wangu na hata wanaokuja patikana wapya. Yaani Condom wanazichukia sana wanadai zinawachubua, zinapunguza utam n.k

Binafsi mimi nipo tayari kuahirisha mechi kama hamna ndom.hata tupime mara mia sitembelei RIM hata siku moja.

Sasa hizi habari ZILIZOTANGAZWA NA BBC KUWA WAATHIRIKA WA UMEME/NGOMA WAKIPANDIKIZWA UBOO WANAPONA. Zimewagusa wanawake wengi sana.

Wengi waliokuwa magalfriend wananitumia texts wakinambia sasa nisiwabanie maana hawana wasiwasi watapandikizwa Uboo so niache kuwa mwoga mtoto wa kiume.niwatafute sasa niwachape nao LIVE.

Nmewaza hivi na huku TZ inawezekana kuwapandikizia watu Uboo wakapona ukimwi? Hapa sasa wadada si watakuwa wanajiachia tu?coz wanajua uboo upo tu mwingi?

Anyway...mimi nmesema siachi kutumia kinga hata iweje.wacha wanaotegemea uboo waendelee tu.mimi siuzi mechi...sitembelei Rim hata iweje
Wakipandikizwa nini, ub**???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
12,327

Hiyo treatment ni bei ghali sana. Kiasi kwamba kwa hali zetu za kitanzania kuimudu ni ngumu.
Hata hivyo bado iko kwenye majaribio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mefloquine

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
500
1,000
Bone marrow - uboho
Penis - uboo

Msichanganye.

Kwanza niwapongeze wanasayansi hao, kisha niwatie moyo, binadamu sisi niwavumilivu sana, tupo tangu enzi zile za simu za kukoroga mpaka sasa tunapangusa vioo tuu. Kwahiyo leo wamekuja na njia ya upasuaji, nimatumaini yangu miaka ijayo watakuja na mafuta ya kujipaka tu, ukijipaka ushapona ukimwi.

Mizigooooo mpoooo.
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,043
2,000
Unajua bone marrow ni nin?
Bone marrow - uboho
Penis - uboo

Msichanganye.

Kwanza niwapongeze wanasayansi hao, kisha niwatie moyo, binadamu sisi niwavumilivu sana, tupo tangu enzi zile za simu za kukoroga mpaka sasa tunapangusa vioo tuu. Kwahiyo leo wamekuja na njia ya upasuaji, nimatumaini yangu miaka ijayo watakuja na mafuta ya kujipaka tu, ukijipaka ushapona ukimwi.

Mizigooooo mpoooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom