Kwenda na mtoto guest ni halali?

Kwenda na mtoto guest ni halali?

lukas charles

Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
82
Reaction score
47
Mimi nibkijana naishi nyumbani kwa wazazi ila katika harakati za ujana nilijikuta nazaa na mdada mtaa jirani. Sasa yapita miezi 3 tangia ajifungue ameshaanza usumbufu eti nikamzibue mtoto masikio

Sasa najiuliza niende na mwanangu guest moyo unapata hofu watu watatushangaa ndio maana nikaamua kuwauliza ni halali nifanye hivyo.
 
NENDA TU SI MWANAO PIGA MASHINE TOKA NA MWANAO AKILIA MWAMBIE MAMA SHUKA NYONYESHA AKITULIA NJOO UKALIE MASHINE MPAKA HAMU IISHE
 
Mimi nikijana naishi nyumbani kwa wazazi. ila katika halakati zaujana nilijikuta nazaa na kisingo mother kimoja. Mtaa jilani sasa yapita miezi 3 tangia kajifungue kameshaanza usumbufu ati nikazibue mtoto maskio sasa najiuliza niende namwanangu guest moyo unapata hofu wa2 watatushangaa ndoomaana nikaamua kuwauliza nihalali nifanye hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka unaitwa baba bado unakaa kwa wazazi huo ni ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikijana naishi nyumbani kwa wazazi. ila katika halakati zaujana nilijikuta nazaa na kisingo mother kimoja. Mtaa jilani sasa yapita miezi 3 tangia kajifungue kameshaanza usumbufu ati nikazibue mtoto maskio sasa najiuliza niende namwanangu guest moyo unapata hofu wa2 watatushangaa ndoomaana nikaamua kuwauliza nihalali nifanye hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mdogo dah! Kiswahili chako shida tupu, subiria kejeli na dharau maana humu ndivyo utakavyoambulia kutokana na jinsi ulivyoyaandika hayo maneno ya kiswahili.
Huachi nafasi na umebadili sana spelling. Isitoshe kwani hapo mwanzoni huyo mtoto mlimpatia wapi mpaka sahv msindwe kwenda nae mlikompatia??![emoji848][emoji848][emoji848]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Maendeleo hayana chama
tapatalk_1544269083065.jpeg


kote hakufai
 
Kwaio harakati za ujana ni kuzaa watoto bila mpango ilihali unajua kabisa bado huwezi kujitegemea kweli badala ya kupambana kutafuta maisha ili uweze kujitegemea na kusaidia wazazi ??

Yani baadhi ya watu sijui maisha mnayachukuliaje.

Siamini jamii yetu hapa ilipofikia lakini pia naogopa inapoelekea.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nibkijana naishi nyumbani kwa wazazi ila katika harakati za ujana nilijikuta nazaa na mdada mtaa jirani. Sasa yapita miezi 3 tangia ajifungue ameshaanza usumbufu eti nikamzibue mtoto masikio

Sasa najiuliza niende na mwanangu guest moyo unapata hofu watu watatushangaa ndio maana nikaamua kuwauliza ni halali nifanye hivyo.
Mmh ndivyo alivyokwambia kwani

Jr[emoji769]
 
Nimewahi kukomenti sehemu nikihitaji kujua UMRI kwa baadhi ya watu humu jf maana threads nyingine bana mmh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom