Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wakuu! Wanawake leo ni siku Yetu ebu tubadilike tuache kuwategemea wanaume , Mbona tunaweza siyo kitu kidogo tu nitumie hela ki ukweli inaboa, niwape siri ukiwa unajiudumia unapata...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Vitendo alivyokuwa anafanya R Kelly ni vya kinyama na vya kiudhalilishaji, ila Kwa upande wa pili wanawake ni wa kulaumiwa, Kwa sababu wamekuwa na Tabia ya kupenda watu wenye ela. Japokuwa sio...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
hii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Kuna kisa kilitokea mtaani kwetu apa kati ya ndugu wawili walionifanya nilete huu uzi, kaka ambaye ndo mwenye mke na mdogo mtu aliyemchapia kaka yake Kwa mujibu wa mdogo mtu anadai baada ya kaka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni moja kati ya washkaji wangu wa karibu nilimchukulia kama brother na mshauri sababu alinizidi umri. Kutembea na mpenzi wake haikuwa kwa bahati mbaya, nilimjua huyu Dada kupitia yeye kazi...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za asubuhi. Leo nimeamka na hii jamani. Rafiki yangu ana mke wake. Wao wana mtoto mdogo Kama wa mwaka mmoja hivi. Hapo awali walikuwa wanatumia sindano za uzazi wa mpango,,, lakini...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu na anza Kutiririka na Kuserereka pia. Kheri kwa Siku ya Wanawake duniani. Nawasilisha.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilipata nafasi ya kutembelea Kilwa na mafia kikazi asee Hali ya kule ilinishangaza sana.huwezi kuamini mwanamke kule Ni bidhaa adimu Kama ilivyo uarabuni.unaweza ukawa jirani na kwa mzee fulani...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu luku imekata nyumba ya kupanga nadaiwa mchango wa umeme hapa.. Nikopesheni nisiaibike rafiki yenu Nina shemeji yenu humu geto nitawalipa ndani ya siku 3.. Njoo PM nikutumie namba ya halo...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Wakuu nina wiki 1 tangu nitembelee mitaa ya Bukoba huku.. Nimemvuta girlfriend huku wa Kihaya kuna swali limestua. Leo ameniuliza ana maana gani? Nipo tayari kuongeza kasi.. By makonde boy...
4 Reactions
106 Replies
11K Views
Wakuu Leo Nina mwez na nusu Toka nimehamia mjini hapa biashara yangu bodaboda. Naamka asubui pikipiki sioni.. Mara ya mwisho mtu akiamka sa 9 aliiona pikipiki lakini cha Ajabu mlango umevunjwa...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Ebhana me nina dem wangu na tumeishi kwa muda kwenye mahusiano. Yeye anakaa kwao me niko zangu gheto,siku za nyuma alikuwa anakuja nakula mzigo kawaida ila siku hzi simuelewi kabsa kila akipanga...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilitamani nibadilike japo mimi zero iQ nipate muda wa kutafakari yajayo katika ndoa kwa kuwa na Mpenzi ambae nitampenda, Of course nilimpata mmoja Na kujitahidi kumpenda,nilimpa kila...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
habari ndugu zangu. Nina binti nampenda sana na nina mpango wa kuishi nae kama mke wangu. Ila mimi na yeye tupo kwenye long distance relationship. Sasa juzi kaenda kwenye sherehe ya dada ake ya...
4 Reactions
122 Replies
12K Views
Watu wengi wanaojitahidi kuishinda zinaa wamekua wakijikuta ni victims wa kupiga punyeto. Hili halihitaji mifano mingi, mfano hai ni wewe unayesoma uzi huu. Mbaya zaidi punyeto ni ulevi mbaya...
8 Reactions
41 Replies
33K Views
Wengi wanauliza Zero mbona unawatafuna sana maduu, sasa leo nawajibu uchawi wangu wa kuwatafuna upo kwenye kunio langu, Mi nikiona una marafiki 4 Na zaidi basi lazima nikutongoze ukitiki siku...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Watanzania kuna vitu fulani tunaendekeza ambavyo havina mantiki kwakweli. Siku hizi kuna kautaratibu kamepamba moto ambapo mtu sherehe si yake ila anakuja na watu wake wanampa zawadi akiwa amekaa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika maisha kila kitu hutokea kwa kusudi maalumu na majira maalumu; kama ilivyo production date kwenye bidhaa na expire date, hivyo kila kitu kina expire date yake; kuna muda katika maisha kuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…