Akikuacha mwache aende

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
Katika maisha kila kitu hutokea kwa kusudi maalumu na majira maalumu; kama ilivyo production date kwenye bidhaa na expire date, hivyo kila kitu kina expire date yake; kuna muda katika maisha kuna watu wanaondoka kwetu, ndugu aumarafiki. Utakapolazimisha ni uadui utatengeneza; Huwa tunajisikia vibaya lakini inabidi tuwaruhusubwaondoke. Why?
1.Tunapata muda wa kujitambua zaidi
2.Fursa mpya na watu wapya waje
3.Lengo na kusudi lao limeisha
4.Itakuwezesha kufanya maamuzi sahihi zaidi
5.Kuna majukumu yasiyokuhusu Mungu anakuepusha nayo
6.Itakufanya uweze kujitegemea zaidi

7.Itakufanya uonyeshe uwezo mkubwa zaid ulio nao
Pata nakala ya kitabu changu
henryest600@icloud.com
 
Back
Top Bottom