Uchawi wangu upo kwenye kunio langu tu

Uchawi wangu upo kwenye kunio langu tu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Wengi wanauliza Zero mbona unawatafuna sana maduu, sasa leo nawajibu uchawi wangu wa kuwatafuna upo kwenye kunio langu,

Mi nikiona una marafiki 4 Na zaidi basi lazima nikutongoze ukitiki siku ukija kwangu najifanya kupiga game nje ya uwezo yaani sometime naact kama sisimamishi, sasa wanawake walivyo wapumbafu akitoka hapo lazima akawasimulie wenzake kumbuka pia lazima wakisikia washangae labda ulishakuwa Na Skendo flani kitaani za kuwatafuna wengine mpaka kufumwa, sasa kichwani mwao watataka kutest kuja kujionea kama kweli,

Sasa hapo kazi inakuwa moja tu ni kuwatafuna kwa kwenda mbele Na hapo pia hawatoamini watajua umebahatisha lazima watakuja twice we kinachobaki ni kuwatafuna kweli kweli huku unatafuta mtandao mwingine,

Note;
Mbinu hii iko 50/50 kuna kupata Na kukosa,sasa ukikosa ujue utapata Aibu kubwa maana all friend behind her watajua we ni joka la kibisa haufanyi kazi.

Cc_Zero IQ
 
hahahaaa! wewe kweli Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaotafunaga madem hawanaga shobo za kusimulia huku mitandaoni ila hawa wachovu na weny vibamia ndo wasumbufu wakubwa
 
So unatufundisha nini yani? Tucheze mechi chini ya kiwango au.....Hili mada ndo imekufit yan siyo ile nyingine inayohusu talents
 
Back
Top Bottom