Demu wangu sijui ananifanyia makusudi?

tryvenak

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
245
500
Ebhana me nina dem wangu na tumeishi kwa muda kwenye mahusiano. Yeye anakaa kwao me niko zangu gheto,siku za nyuma alikuwa anakuja nakula mzigo kawaida ila siku hzi simuelewi kabsa kila akipanga kuja gheto anakuja akiwa kwenye siku zake(Period) jambo ambalo limekuwa kero na najikuta namis kitumbua chake kwa muda mrefu sana. Maana miez mitatu sasa anafanya huu mchezo, me nimeamua kwamba akija tena na yuko kwenye siku zake ntamla ivo ivo. Au mnashauri vp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
23,894
2,000
Huu ndio ubaya wa kula vitumbua bila kulipia

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,355
2,000
Mkuu unalipia kitumbua au we kazi yako kukopa tuu?atakuwa ameshakuchoka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom