Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naandika hapa kwa maumivu makali na hali sasa imekua tata si kama awali naombeni ufumbuzi Ni Leo mchana nimebahatika kununua dawa ya kuharisha kwa yelo subai (Maasai) ili niharishe na kusafisha...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wadau, katika pita pita zangu za matembezi, Kigali, Kampala na Mutukula. Nimekutana sana na hii jamii ya kihtusi na Wanyankole. Hizi jamii zinafanana.Yaani hii jamii kama ukizungumzia namba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwahiyo Wewe unataka Kushindana au Kubishana na Mwenyezi Mungu katika ' Uumbaji ' wake kiasi kwamba umeona aina ya Uume / Mkuyenge aliokupa na Kukubariki nao haufai na Wewe unataka uufanyie '...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima! [emoji3][emoji3][emoji3]. Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Kuna kisa kimoja cha baba mmoja aliyewahi kuwa na michepukon (kama ilivyo kawaida ya wanaume wengi). Huyu baba alikuja kuzaa na mchepuko wake mtoto wa kike na mtoto akawa mkubwa tu, zaidi ya miaka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijui nguvu ndio zinaanza kuniishia au lah, Leo kama utani nimekutana na mtoto mmoja mkali nilimpania lakini alivyofika gheto nimepiga kimoja tu niko chalii mzigo haukutaka kuamka tena, Aisee...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za mida wadau. Kuna hiyo habari hapo kwamba ugoro unapunguza hamu ya tendo kwa wanawake. Je kuna ukweli kwenye hili? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakati naanza kufanya uchunguzi wangu nilidhani kuwa ushoga husababishwa na umasikini, hali haikuwa hivyo kwa sababu mashoga wa bongo 95% wana elimu na uwezo mzuri kiuchumi. Hii inaonyesha wazi...
4 Reactions
31 Replies
15K Views
Kwa wanawake si jambo la kustaajabisha hata kidogo kumwacha mumewe baada ya kurubuniwa kwa pesa. Swali langu linakuja kwa wanaume, Linaweza kuwa swali la ajabu lakini kwanza nikusimulie kisa...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
1. Anapokuwa nawe inamuwia vigumu sana kukwambia neno NAKUPENDA mara kwa mara, utajikuta wewe ndio unakuwa mtumwa kwake kwa kumwambia nakupenda kila mara. Majibu yake baada ya neno hilo, mara...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiyo wameonekana ' Vinara ' wa Kujua ' Kupachika ' Mimba Wake / Wapenzi wao ambapo hadi kufikia mwisho wa mwaka huu wa 2019 Wanawake Milioni Moja na Laki Tano...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau, Je kuna wanawake ni wasafi kwenye uchi wao kiasi hawatoi harufu yoyote, Maana mpenzi wangu huwa nashindwa kuelewa, wanawake woote niliowahi kuwa nao huwa kuna muda uke unakua na kaharufu...
3 Reactions
99 Replies
9K Views
Natarajia yote mko swali, licha ya shilingi kupoteza grounds against the dollar,na matatizo mengi hapa na pale, Niko nimesikia kitu nataka tutoe maoni hapa na tuwe wakweli, haswa nyinyi dada zetu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bwana Yesu asifiwe! Twende kwenye mada: Je ni kweli kwamba mke/mme sahihi huja maishani mwako pasipokutegemea? Maana nimekuwa nikisikia watu wakishauriwa " Subiri atakuja aliye sahihi, just wait"...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
;););););) Katika kuongea na wanawake wengi ambao huniomba ushauri nimegundua kitu kimoja, chanzo kikubwa cha mateso ya wanawake si ukatili wa wanaume bali ni kushindwa kuwa huru kikipato. Kuna...
1 Reactions
3 Replies
866 Views
habari wakuu Hivi kwanini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga. Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
131 Replies
21K Views
Fundo lililozua utata baina yangu na somo yangu takriban miaka 40 iliyopita. Ilikuwa katika matayarisho ya harusi yangu, shoga'ke kipenzi bibi yangu nae nilimwita bibi, alikuwa ananisiriba...
16 Reactions
127 Replies
12K Views
Mimi na mpenzi wangu tunaweza kupatana siku tatu baada ya hapo tukazinguana kidogo tukapishana kishwahili siku moja au mbili baada ya hapo tunakubaliana tena. Kupatana kwenu sanasana kuwe...
7 Reactions
258 Replies
16K Views
  • Closed
Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam, 1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi. 2. Dada wa kazi hapa nyumbani...
47 Reactions
346 Replies
76K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…