Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!! 2. Mwanaume anaweza kumuacha Mwanamke aliyemfumania kisha akaoa Mwanamke aliyeachwa kwa kosa la kufumaniwa...!! 3...
1 Reactions
1 Replies
812 Views
UTAMU wa mwanamke uko kwenye mwili wako, UZURI wa Mwanamke upo kwenye Macho yako, lakini zaidi ya yote ni MTAZAMO WAKO kwa Mwanamke huo ndo unaweza kujua UBORA wa Mwanamke. Mwanaume ambaye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ukwel ndoa siyo ngumu na ndo maana mabinti wa saiv wanazitamani fulsa hizo jamani bt ndo inafikia wanaharibu za wenzie haaa... nimecheka mpaka saiv nafikilia inakuwaje mwanamke ajaolewa hata posa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Why Unateseka kwa nini? Kisa nini? Ni huo uzuri wake hukutegemea kukubaliwa na yeye ni huo msura wake au hizo bambaa taa? Kabla hujaendelea kuteseka na kuapta tabu je unahisi anakufaaaaaa! Je...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
“Muambie hata aende akajitembulishe kwenu kwanza, usikubali tu kumbebea mimba mtu ambaye hata kwenu hajulikani, kama anakupenda basi ataleta hata Barua ya posa na kutoa Mahari!” Agness alimuambia...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Kuna wanaume ambao kwa kutokujua wanadhani mwanamke anachohitaji ni ‘fidia’ baada ya kuvunjiwa heshima, hivyo huwa wanawavunjia heshima wake zao na baadae kujitoza ‘fidia’ kwa kuwanunulia zawadi...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Miongoni mwa sifa muhimu za mwanamke mwerevu na mahiri ni kutousifu mvuto wa wanawake wengine mbele ya mume wake. Licha ya kwamba jambo hili halikubaliki, lakini pia inamuepusha na majaribu...
1 Reactions
2 Replies
522 Views
Kuna mwanamke ananiganda sijui kwanini na anajua nina mpenzi tena rafiki yake. Nashindwa kumchana maana namuonea huruma, anataka nimgonge. Alimtangazia mpenzi wangu kwamba tulishakuwa na...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Haswa kwa wanaume nataka kujua unatakiwa kujiolea au kuoa ukiwa na MALI au umri wako ukitimia , nikisema mali i mean uwe na gari nyumba pesa yani siku ukiwa nazo ndio uoe kuna shida hapa Sent...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum, nimepatwa na tatizo la kifamilia na ni urgent naitaji ushauri, mwenye kujua mawasiliano au mtu yeyote wa ustawi wa jamii naomba unipm tafadhali
1 Reactions
10 Replies
5K Views
WANAWAKE ni lazima muelewe kwamba ni vigumu sana kuelewa saikologia ya mwanaume katika tendo la ndoa. Anaweza akajitolea kukusaidia lakini kumbe mwisho wa siku anataka penzi lako.. Anaweza...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Heshima kwenu JF memba. Nielekee kwenye maada tajwa hapo juu, Miezi kadhaa nilileta uzi usemao Je, ndoa hii nani mkosaji? kwenu kuomba ushauri juu ya ndoa yangu. Mlinishauri ushauri wa kila...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Baadhi ya wanawake hudhani njia pekee ya kumwonesha upendo mpenzi ni kufanya nae mapenzi tu. Ndio maana wapo baadhi ya wanawake akikupa tu penzi basi ni kama vile amejihakikishia ujira na atakudai...
1 Reactions
3 Replies
903 Views
🍂KWANZA UNATAKIWA KUJITAMBUA🍂 Hapo ndugu utaweza kuiendesha familia yako kama mwanamke wa ndoa ...nenda na wakati muda wa kupika pika chakula kiive ...tena kilike sio wewe muda wa kupika wewe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huenda wasichana/wanawake wengi hawafahamu namna bora ya kuwapenda wapenzi wao. Wengi wanafikiri namna bora ya kuwafurahisha wapenzi wao ni kukutana nao kimwili ( intimacy). Ndio maana hakuna kitu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza, misa ya jumatano ya majivu, Paroko katika matangazo yake akasema anatoa fursa ya kubatiza vichaa, mazezeta na mataira, tena akiongea kwa sauti isiyo na staha. Binafsi...
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Ewe mwanamke, kama mumeo anaingia hadi ndani ya nyumba huku akiwa amebeba mzigo wowote, iwe bahasha, mfuko nk, wakati umemuona na umeshindwa kumpokea, anza kujitasmini upya. Ew mwanamke, kama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NTAMPATA MWINGINE Baharin kuna samak weng na kila siku wanavuliwa ila bado hawaishi Ktk mapenz kuna watu weng wa jinsia yako...hivyo kuachana nawe haiwez kuwa mwisho wangu wa kupenda au...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Kama ambavyo mtoto mdogo huanza kujifunza kutembea kwakutambaa anza kujifunza kujitegemea kwa kufanya vitu vidogo lakini vya muhimu katika familia. Inawezekana umeolewa, hujaolewa bado unaishi...
1 Reactions
0 Replies
865 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom