HI ,Lets Give Our own Opinion on this pls

Herr muller

JF-Expert Member
May 28, 2018
1,017
1,209
Natarajia yote mko swali, licha ya shilingi kupoteza grounds against the dollar,na matatizo mengi hapa na pale, Niko nimesikia kitu nataka tutoe maoni hapa na tuwe wakweli, haswa nyinyi dada zetu, nimesikia ati ukiona binti amekupenda njua uko na vitu mbili, moja hela ingine akili , binti atakupenda hata kaa huyu binti hana akili hata kidogo, je kuna ukweli kwa hilo, naomba tujandiliane hapa, karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom