Watoto{wavulana & wasichana} msikoment chochote hapa!

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Bwana Yesu asifiwe!
Twende kwenye mada:
Je ni kweli kwamba mke/mme sahihi huja maishani mwako pasipokutegemea?
Maana nimekuwa nikisikia watu wakishauriwa " Subiri atakuja aliye sahihi, just wait"
Je ni kweli yatupasa kusubiri au tunapaswa kuwafata huko huko walipo?
Hata ukipitia Jf utaona comments nyingi zikisema ' wait atakuja aliye sahihi" Je ni vizuri mwanaume kupewa huu ushauri?
Ni kweli vitu vizuri vinaweza kutokea bila kustrugle?
Karibu, tufunguane mawazo, Tumia experience yako au ya mtu mwingine kushare na sisi.
🙏
images.png
images (3).jpg
 
Attachments

  • images.png
    images.png
    29.1 KB · Views: 30
  • images (3).jpg
    images (3).jpg
    11.9 KB · Views: 31
Asie fanya kazi na asile!.. Hakuna mahali panasema kula ndio ufanye kazi.

Uwezi pata mke Kama hautamtafuta maybe hyo mke awe anakutafuta wewe wakati wewe ukiwa umekaa mahali ukimsubiri akupate..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa! mtu anaoa au kuolewa muda sahii ukifika,msilazimishe kila mauhusiano yawe ndoa mtalia baadae subiri aliye sahii akija mtaoana tu.
mimi lipanga kuoa ni kiwa 35 yrs nikajipa moyo ngoja nile tule ujana na kigirl friend changu tulikuwa na same age 24 yrs,utoto mwingi show off kila kona tuliyachochea na kuyaamsha mapenzi kwa tamaa zetu ,mapenzi yanatakiwa yatakapoona vema yenyewe ndio yaamke , pasipo kutegemea mwisho wa siku tunatimiza 27yrs kila mtu alikuwa amepata wake wa maisha nilioa na yeye aliolewa maisha yanasonga mbele,tulikutana last year kwenye parents day wanetu wanasoma shule moja tulibaki kucheka tu tukikumbuka maisha ya ndoto za ujana.
Maisha yanaendelea maaana nawaza kwa mapungufu niliyonayo girlfriend wangu wa kwanza angenivumilia au mimi ningemvumilia ya kwake? kwanza siku hizi namuona amesha kuwa mzee ningekuwa nae angekuwa dada kwangu

Usijitaabishe/ usijihangaishe ni wapi utampatamke au mume, Mwachie Mungu akupe mke au mume kwani yeye ndiye mwasisi wa ndoa hivyo anajua ni yupi atakufaa katika maisha yako. Hatuoi kwa kuhurumiana, bali kwa msingi wa kupendana na mapenzi ya Mungu
 
logic
 
The best and powerful message, Mkuu asante kwa kuonesha nafasi ya Mungu ktk masuala ya ndoa,
Kumbe Mungu anakupatia mke/mme sahihi pale anapoona upo tayari kwa majukumu.
 
Wakuu Asalamaleukyum, Bwana Yesu asifiwe!
Twende kwenye mada:
Je ni kweli kwamba mke/mme sahihi huja maishani mwako pasipokutegemea?
Maana nimekuwa nikisikia watu wakishauriwa " Subiri atakuja aliye sahihi, just wait"
Je ni kweli yatupasa kusubiri au tunapaswa kuwafata huko huko walipo?
Hata ukipitia Jf utaona comments nyingi zikisema ' wait atakuja aliye sahihi" Je ni vizuri mwanaume kupewa huu ushauri?
Ni kweli vitu vizuri vinaweza kutokea bila kustrugle?
Karibu, tufunguane mawazo, Tumia experience yako au ya mtu mwingine kushare na sisi.
🙏
Nadhani kama nakuelewa kidogo kisha unaniacha njia panda halafu naanza kukuelewa tena. Ila panapo watu wazima hapaharibiki neno. maneno ya kiswahili yana mafumbo sana kias ambacho ukishindwa kujiongeza hutoeelewa nini kilimaanishwa katika huo msamiati.

Kuna kipindi unakuwa katikamahusiano lakini mahusiano hayo si rafiki kwako hata kidogo yaani yanakuendesha kama gari bovu au hakuna mwanga kwa siku za mbeleni ndo pale unapoambiwa kama "subiri atakuja aliye sahihi". ila kama una mtu sahihi na mwanga wakimaisha unaonekana basi sidhani kama huo usemi utakuwa na nafasi kwako.

Subira huvuta kheri kwa watu wa zamani ila kwa sasa ukisubiri sana utasubiri mpaka Bwana Yesu atakaporejea. Cha msingi ni kujiongeza na kuangalia fursa zilizopo kwa wakati huu kumbuka ukiwa uko kwenye subra na umri nao unakwenda na nguvu nazo zinapungua so ukija ukipata huyo mtu na muda ushakwiasha sidhani kama atakuwa sahihi tena kwako.

Kata mti panda mti, kama huyo sio sahihi huna haja ya kusubiri sana kwani wamejaa tele kinadada siku hizi
 
Ni kweli huja wakati usiotegemea na unatakiwa kusubiri kama Ruge alivyosubiri na Mzee wa Liquid anavyosubiri sasa hivi.
 
Lazima ufanye jitihada,na jitihada si kuwa na wapenzi wengi;unaweza kuwa unatembea,kusafiri,kwenye mikusanyiko ya watu n.k ukamuona mtu ambaye anakuvutia ukazungumza naye kwa siku hiyo na katika mazungumzo ukajikuta nafsi yako inaridhika tu na kuhisi kweli ndio yeye uliyekuwa unamtafuta,na mara nyingi hapa unaacha hisia zako na zake ziongee,usitumie nguvu.Mwisho wa siku unajikuta ndio uliyepangiwa naye.
 
Write your reply...kijana utangoja milele na utakufa bila kelele kama walivyokufa wafuasi wa mlele kama walivyokufa wafuasi wa kibwetele.
 
Back
Top Bottom