Bilionea Afa wakati akiwa katika harakati zake za ' Kipuuzi ' za Kuukuza Uume wake ufanane na Rungu la Mpingo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Kwahiyo Wewe unataka Kushindana au Kubishana na Mwenyezi Mungu katika ' Uumbaji ' wake kiasi kwamba umeona aina ya Uume / Mkuyenge aliokupa na Kukubariki nao haufai na Wewe unataka uufanyie ' Maboresho ' zaidi.

Mfe tu kwa huu ' Upuuzi ' wenu.

R.I.P sana na mno Bilione Mpuuzi. Kwahiyo mnadhani Sisi wengine wenye ' Mikuyenge ' midogo au ya wastani hatutaki kuwa na hiyo ' Mitalimbo ' ambayo nyie mnaitaka? Ila tunavumilia tu kwakuwa tunajua ya kwamba Mwenyezi Mungu ana ' Makusudi ' yake ya Kumuumba Mwanaume na kila aina ya ' Mkuyenge / Uume ' alionao na kila Mwanaume anatakiwa ajivunie kwa hilo na aliheshimu.

Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima Ukurasa wa Tano ( 5 )

Nawasilisha.
 
Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
568
1,000
Hii habari haijakamilika, Mkuu mtoa mada waweza zingatia principle ya W5+HOW?
Ili tuweze kuelewa undani wa hii thread
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Hii habari haijakamilika, Mkuu mtoa mada waweza zingatia principle ya W5+HOW?
Ili tuweze kuelewa undani wa hii thread

Usinitafute ubaya halafu ukaja Kujuta sawa Mkuu? Hivi nilipokuambia hapo kuwa Habari Kamili ipo katika Gazeti la leo la Tanzania Daima Ukurasa wa Tano na hata katika Mtandao wao ipo ulishindwa tu kwa haraka haraka kwenda huko? Hopeless kabisa Wewe na hizo 5W's + HOW yako hiyo.
 
interlacustrineregion

JF-Expert Member
Oct 28, 2018
7,127
2,000
Wanakuja wenye mabwawa walioharibikiwa na madawa ya uzazi wa mpango na madildo ktk kusex nayo kukupongeza kwa nderemo na vifijo kutambua umuhimu wao wa kuwatengenezea mikuyenge bandia kama ya punda.
Kwahiyo Wewe unataka Kushindana au Kubishana na Mwenyezi Mungu katika ' Uumbaji ' wake kiasi kwamba umeona aina ya Uume / Mkuyenge aliokupa na Kukubariki nao haufai na Wewe unataka uufanyie ' Maboresho ' zaidi.

Mfe tu kwa huu ' Upuuzi ' wenu.

R.I.P sana na mno Bilione Mpuuzi. Kwahiyo mnadhani Sisi wengine wenye ' Mikuyenge ' midogo au ya wastani hatutaki kuwa na hiyo ' Mitalimbo ' ambayo nyie mnaitaka? Ila tunavumilia tu kwakuwa tunajua ya kwamba Mwenyezi Mungu ana ' Makusudi ' yake ya Kumuumba Mwanaume na kila aina ya ' Mkuyenge / Uume ' alionao na kila Mwanaume anatakiwa ajivunie kwa hilo na aliheshimu.

Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima Ukurasa wa Tano ( 5 )

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,891

Bila picha ni bure!
 
CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
1,040
2,000
Daah..! ujue kuna baadhi ya vifo vinatia aibu sana na moja wapo ni kama cha huyo bilionea
Halafu hivi ni kweli hizi dawa za kukuza maumbile zipogo kweli au ni porojo za hawa waganga matapeli
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,444
2,000
Karne hii...pesa inaongea make ukiwa na pesa ata ukinusa tu papuchi utaambiwa unanifikisha kileleni ; tajiri alitaka apewe zote ? kwani anadhani Muumba anakoseaga kazi yake ? kwamba akupe Akili ya kutafuta pesa na hapohapo akupe kamba ya meli ?
Wengine tunazo vibamia ila ni mafundi wa kuchezea papuchi adi ipate joto.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom