Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,266
Habari wadau, katika pita pita zangu za matembezi, Kigali, Kampala na Mutukula. Nimekutana sana na hii jamii ya kihtusi na Wanyankole. Hizi jamii zinafanana.Yaani hii jamii kama ukizungumzia namba nane wanazo za ukweli tena wanaishi na namba nane zao hadi uzeeni. Kurusha maji mimi napenda sana yaani nayafurahia maji sana. Kuna mmoja anasumbua anataka kuja jiji la Makonda, naogopa wakwale maana mtoto akitua jiji tu ni shida. Binafsi naona kuna upendeleo hii jamii imeumbika sana. Yaani ni wateke wateke hawajakomaa kama Asha ngedere wetu. Hila jamaa yangu mmoja kadai hawafai kuwekwa ndani kisa akigundua umechepuka anaweza kukuua. Kama unawajua zaidi tushare maoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app