Bwii89
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,025
Nimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima! [emoji3][emoji3][emoji3]. Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas tena.Wakuu hua mnatumia mbinu gan pindi mtoto mzur anapokulia vyako na kusepa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app