Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,742
- 25,678
šKWANZA UNATAKIWA KUJITAMBUAš
Hapo ndugu utaweza kuiendesha familia yako kama mwanamke wa ndoa ...nenda na wakati muda wa kupika pika chakula kiive ...tena kilike sio wewe muda wa kupika wewe unafua.. ...muda wa kucheza na mume wewe unalala khaaaa unajitambua kweli hapo .muda wa kuandaa chakula wewe unachat jaman muache hizi tabia.
šUSAFI PIA NI LIMBWATA š
Mwanamke unatakiwa ujitume kuwa msafi hakuna mwanaume ambae anapenda uchafu japo baadhi yao ni wachafu.. Mwanamke nyumba nzima imezagaa mavyombo lakini hadi uambiwe mama fulani toa bac hii glass chin ya kochi . .chumba unacholala na mumeo kinanuka uvundo wa manguo mabichi mlioogea yako chini unataka akutolee mumeo?. Usafi mihimu mtoto wa kike,kua msafi upendeze.
šMWANAMKE UNAKUA MVIVU WA KUFIKIRIAš
Kuna wengine huwa hawana akili ya kujiongeza wanasubiri kuambiwa.....unakuta mume muda huo yupo series yeye analeta utani sas ndio kunakucha ... hapo mume lazima achukie .... Mume anataka apikiwe pilau wewe unakwenda kumpikia mchuzi unajaza ndimu na chunvi,wewe hapo sasa si ndio unataka kuyaharibu mambo .....
šMWANAMKE UKIKOSEA JARIBU KUOMBA MSAMAHAš
Kuna wengine ndio kwanza anakua mkali na kumfokea mume wake ..sasa unategemea mwanaume wako ndio ajishushe.....
Akimpata mwanamke mpole mwenye kuomba msamaha wewe lazima utupwe chini kama dekio ...utabaki kulia na maumivu..tujitahid kuomba msamaha iwe tumekosea au tumekosewa ....
ā¤
Kama nime kugusa guna tu mmmmm
Inatosha maana najua lazima uwe na kasoro yako hapo