Kama upo kweye mahusino zaidi ya mwaka, una roho ngumu sana...

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,211
39,033
Upo na mpenzi wako zaid ya mwaka wengne utaskia 3yrs mnadate, hivi hamchokani tu?? Me sijawai date na demu kwa zaid ya miez6 kwa sababu atanikinai ntatafuta mwingine.

Mliopo kwenye mahusiano zaid ya mwaka mna roho ngumu sana, miaka yote hio unamla tu, hakukinai tu??

Hivi unawezaje kudate na demu kwa kipindi chote hicho labda uwe haupo sawa kiafya nitakubali ila kama mzma una roho ngumu sana kama jiwe.

Watu wa dizain hii mbinguni mtaenda na mtakaa siti ya mbele na mirinda nyeusi mtakunywa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukipata mtu sahihi utaelewa
 
Mke au mume ni kama pesa siku zote hata uwe na matrilion lakini still utasaka sh 100.....ukiona uko hivyo ujue bado hujajua maana ya upendo kwani love uwezi kinai

Mkuu unaweza kuka daily maharage?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Upo na mpenzi wako zaid ya mwaka wengne utaskia 3yrs mnadate, hivi hamchokani tu?? Me sijawai date na demu kwa zaid ya miez6 kwa sababu atanikinai ntatafuta mwingine.

Mliopo kwenye mahusiano zaid ya mwaka mna roho ngumu sana, miaka yote hio unamla tu, hakukinai tu??

Hivi unawezaje kudate na demu kwa kipindi chote hicho labda uwe haupo sawa kiafya nitakubali ila kama mzma una roho ngumu sana kama jiwe.

Watu wa dizain hii mbinguni mtaenda na mtakaa siti ya mbele na mirinda nyeusi mtakunywa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
hahhhh drizz
 
Hii hali sio ya kuiendekeza, itakupa shida sana kwenye kujenga mustakabali mzuri wa familia yako pindi utakapokuwa kwenye ndoa. Utamchoka mkeo na kuanza purukusani sasa upatege mke mvumilivu lakini ukipata pasua Kichwa ndani hapatokalika.
 
Back
Top Bottom