Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Story iko hivi kuna mrembo nimempata fb, huyu mrembo alikuja inbox kunipa hi na nk ikabid story ziende mbali zaidi tulipofahamiana na kujua yupo karibu sana na napo ishi ,ikabidi nimuombe game yan...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hi there! Ok katika maisha kuna matukio yanatokea alafu baadae unajikuta unajilaumu au kujutia sana binafsi najutia kukutana na kijana mmoja ambaye tulipendana sana. Lakini baada ya kusumbuana...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakuu salam Huwa nina utaratibu wa kubeba zawadi ninapoenda kumtembelea mtu nyumban kwake hasa kwa wale watu wangu wa karibu na inakuwa rahisi sana kuselect aina ya zawadi sababu nawajua vema...
3 Reactions
67 Replies
9K Views
Hii tabia kwa sasa imekuwa kawaida mnoo so dar tu hadi mikoani , unakuta mtu bonge la mwili lakini hana marinda... Ndo mana sasa mtu akipata dem hali halali anaitaka haram tu.. Kweli Wanadam tuna...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, polen kwa mihangaiko ya kutwa nzima,, Hivi mfano siku ya harusi kabisa bibi harusi ikatokea akapigwa kofi kali/zito kwenye process ya kulishana keki baada ya kumtisha tishabwana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii? Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo: 1.Nina 34yrs. 2.Maji ya kunde. 3.Kimo ni wastani(mrefu kiasi). 4.Mwembamba(sio sana ni mwili wa mazoezi). 5.Nimesoma hadi darasa la...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Ukimpenda anaekupenda raha yake ni sawa na pepo ya dunia. Hela, sura mavazi ya gharama, havina nafasi kubwa kwenye mapenzi ya kweli. Utatambua kuwa hili ulilonalo ni penzi la kweli pale...
39 Reactions
110 Replies
11K Views
Just share your experience on love making with different nationalities: Katika pita pita na onja onja ila sasa nimetulia nakula kuna kitu kimoja nafikiri waafrika tunatakiwa kujipongeza. Kuna...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wengi wamekuwa wakihangaika kupata mtu sahihi ktk maisha yake wengine kudiriki kukesha kuomba na kufunga kupata mtu sahihi wakitegemea mtu huyo atakuja tu ktk maono kama zilizvyo njozi zingine za...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Habari zenu wana jukwaa, Mdogo wangu wa kiume 18 anatatizo la kupenda sana wanaume wenzie. Yani anadiriki kusema mwanaume mzuri au handsome amuonapo kavaa mlegezo au anajiweka msafi anampa hamu...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Nasema na wewe mwanamke Usitafute upendo kwa Mwanaume kwani ni wajibu wake kukupenda. Ila ukiona hakuna upendo juu yako na upo nae ujue kwamba kuna anayependwa. Msijidanganye kwamba wanaume...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja mrembo sana. Hakuwa mrembo tu bali pia alikuwa na akili zilizoendana na urembo wake. Nilimpenda sana kwani niliona...
8 Reactions
309 Replies
30K Views
Kama una mtoto ambaye anatumia smartphone jua ameshika sumu Tena sumu iliyo expire.hizi Zama uchafu wote upo kwenye X Ni rahisi kwa mtoto kutaka kujaribu michezo ya kule.mkanye kabisa usimfiche...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu Well mim bado sijaoa ila napenda sana kufika kwenye hili tendo Takatifu kabisaa siku za usoni. Hoja yangu Kubwa au swali langu kubwa ni kwamba Mfano Mim nina kazi na Mke wangu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Niko serious maana Naona watu wengi wananiuliza kuhusu kuoa ko nimeamua kujitoa muhanga kwa hivi vogori vya jamii forum. Note:mimi naheshima zangu na no mtu mzima. ~.A...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Wako mwanaume wapuuzi wa kiwango cha Lami. Mkeo anasafiri unaleta mwingine ndani na pia unamwambia weakness za mkeo. Ukijiona uko hivyo ujue wewe ni mpuuzi sana Sent using Jamii Forums mobile app
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Hiyo ndio fact kwa wale madada wanaojifanya wao ndio kila kitu yaani utasikia huyu mwanaume kwangu ndio amefika , Utamu ninaompa ni kiboko sijui nini na vimaneno kibao. Sasa mr Zero Iq nimekuja...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Hata wanawake mnaruhusiwa kuchangia. Ok ipo wakuu soma yote pls. Nilikuwa mbali na nyumbani nikakutana na binti fulani nikampenda nikamtongoza baada ya muda akanikubalia tukaanza kudate...
7 Reactions
198 Replies
20K Views
Jana nikiwa naperuzi humu jukwaani nikakutana na uzi wa mdau akidai kuwa amemlisha mke wake chakula bila mboga sababu ya tabia ya mke wake kutompokea pindi anaporudi kutoka kwenye mihangaiko akiwa...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…