Hataki tukapime afya

Hataki tukapime afya

otsward

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
300
Reaction score
245
Story iko hivi kuna mrembo nimempata fb, huyu mrembo alikuja inbox kunipa hi na nk ikabid story ziende mbali zaidi tulipofahamiana na kujua yupo karibu sana na napo ishi ,ikabidi nimuombe game yan inshot niligundua anataka hicho kitu. nikamuomba game akakubali sasa nikamwambia nataka tupime kwanza.

Anakataa katakataa et anaogopa, anadai tutumie kondom. Hali hii imenikosesha nguvu za kiume simwamn kabsa nahis naenda kulala na mgonjwa Nmm kumla mtu bila denda au nn sijisikii.

NB/ jaman najua wengi ni wapenda totoz ila kumbuken kupima na hao totozi wengi wana wadudu wabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni dhambi halafu ukila mke wa mtu ujue hamna namna wako atakuwa salama.
 
Muandiko wako unaonyesha uko chini ya miaka 25 Uongo?
 
Hali hii imenikosesha nguvu za kiume simwamn kabsa nahis naenda kulala na mgonjwa.
Na mm kumla mtu bila denda au nn sijisikii.
Hizo nguvu itakua hukua nazo in the first place. Si lazima kushiriki mapenzi na mtu. Yani hakuna anaye/kinacho kulazimisha kufanya mapenzi. Yani tena unaeza hata amua kuwa mpaka ufe hufanyi tena mapenzi (Unless you are married and it is with your wife). Pia wanawake wako wengi. Kwanini uteseke???
 
Nimejalibiws tu ndgu yangu, mana mwanamke ana figure hatar, anakuja unafanyaje sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story iko hivi kuna mrembo nimempata fb, huyu mrembo alikuja inbox kunipa hi na nk ikabid story ziende mbali zaid .
Tulipofahamiana na kujua yupo karibu sana na napo ishi ,ikabidi nimuombe game yan inshot niligundua anataka hicho kitu. nikamuomba game akakubali sasa nikamwambia nataka tupime kwanza.
Anakataa katakataa et anaogopa, anadai tutumie kondom. Hali hii imenikosesha nguvu za kiume simwamn kabsa nahis naenda kulala na mgonjwa.
Na mm kumla mtu bila denda au nn sijisikii.

NB/ jaman najua wengi ni wapenda totoz ila kumbuken kupima na hao totozi wengi wana wadudu wabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
hii story umeigeuza sio mke wa mtu sema ni mme wa mtu!!
 
Back
Top Bottom