Ushoga now Ushakuwa kawaida

Ushoga now Ushakuwa kawaida

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
217
Hii tabia kwa sasa imekuwa kawaida mnoo so dar tu hadi mikoani , unakuta mtu bonge la mwili lakini hana marinda...
Ndo mana sasa mtu akipata dem hali halali anaitaka haram tu..
Kweli Wanadam tuna shidaa.
shoga.jpeg
images.jpeg
5b2929959a676.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mie najiulizaga inakuwa mwanamume unamla mwanamume mwenzio, kama si ushetani uliopitiliza nini au uanvuta bangi kidogo sijui
 
Muda mwingine shetani nae hupita kwenye maonyo. Yaani ukitaja kitu kiovu ili ukikemee basi shetani linapata kundi la kuanza nalo pale pale kwenye waonywaji wako. Yaani hii topic nzuri kujadiliwa lakini wapo wataoukumbuka ufirauni wao na kuwatafuta hao wakemewa na walaaniwa. Ewe Muumba wa mbingu na ardhi tujaalie waja wako mwisho mwema na Umpumzishe shetani nguvu zake kwenye makemeo yetu.
 
Emen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom