Nilimuuliza swali babu yangu wa miaka 70 katika kupiga story za hapa na pale swali lenyewe ni kwamba umewezaje kuwa na bibi mpaka leo? bhasi babu akanitizama kisha akajibu "MSAMAHA"
Alilosema...
Amani iwe kwenu wana MMU,
Nipo jiji la mishemishe DSM, natamani kutoka out na wadogo zangu. maana nimechoka, nahisi nitapata nguvu mpyaaaa......
Sehem tunaweza kwenda tukashinda kama siku...
Baada ya kuambiwa kuwa sina Amani na wewe au siku pendi au sijisikii kuwa na wewe SAS naomba tuachane.. Fanya haya ili kuepuka madhara... 1..___JIEPUSHE KUTAKA USHAURI KWA WATU WENGI... Baada ya...
Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume pamoja na mke wake, mume akamwambia mke wake...
"Mke wangu nimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu dada zangu na hata baba na mama) tujumuike pamoja na...
Mods, plz edit kichwa kisomeke, ' kama uko na mpenzi...'
Ndoa ni tofauti sana na mapenzi ya kubebishana.
Maisha ya ndoa yana ups n downs nyingi.
So kama una mpenzi na umedumu naye kwa kipindi ila...
Habari wana Jamii
Napenda kufahamu hivi ni kwel kabisaaa Mtu akioa au akiolewa kuna heshima fulan anapata kuliko Mtu ambaye hajaoa?
Na mara nyingine watu husema kwamba unapata Mke basi kuna...
Habari za leo wakuu.
Nikiwa sekondari mwaka 2008 kidato cha 4 nilikuwa na rafiki yangu kipenzi na ambae tulikubaliana kuishi wote hapo baadae, Mungu bariki tulifauru wote na kuanza kidato cha...
Katika utafit nilioufanya ni ngumu sana kuanza maisha na mwanamke ambaye amesoma, kama huja jiestablish vizur unless uwe na ela. Na hata ambao wanaokubali kuanza maisha na wanaume ambao hawako...
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Sijui kama mimi ndo mgeni/mshamba au vipi, lakini naona hili suala la ushoga limeshamiri sana kwa vijana wa kiume hasa katika vyuo vikuu...
Habari..
Mimi ni kijana, 31yrs, slim, tall, Niko capital city. Self-employed, najimudu. Nahitaji mwanamke, preferably 38 -44yrs hivi, anayejiweza financially (NB: not to take care of me)...
Nimeona nikiweka kma comment haitasomeka vizuri kwani comments ni nyingi sana tayari..
Napenda kujibu suala la dada aliyelalamikia hg na wababa na kuponda kuwa Ma hg hawajui kufua PICHU , wachafu...
Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, unapotafuta mpenzi weka walau hata mwili tu tuone, endapo utaona kuweka sura ni shida.
kwa wadada jitahidi kuweka hata shape tu, hili linaweza ongeza...
Zamani kabisa nilikuwa na amini maumbilr ya wanawake yanafanana. Ila nilipoanza chrki porn nikagundua kuna tofauti kubwa sana nazungumzia wenye papuchi zilizotuna na hawa near flat ambao ndio...
Vifuatavyo ndivyo viusike,
--Nguo tu ya bwana harusi na bibi harusi za kuendea kanisani(Ziwe simple na za heshima)
--Usafiri wa kwenda na kurudi nyumbani, unaoweza kubeba watu wasiozidi 8 tu...
Habari wa kuu...
kumekuwa na katabia ka watu kupostiana watsapp status, hivyo kupelekea watu kurequest sana mara naomba namba ya huyu dem mara namba ya huyu bro na hata wakati mwingine bila salam...
Rafiki yangu kapanga chumba na sebule anaishi na mkewe.
Anatarajia kupokea wageni ambao ni wazazi wake toka mkoani watakaa kama week wanakuja kwenye harusi.
Jamaa anawaza wazazi wakifika umo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.