Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nasema na wewe mwanamke Usitafute upendo kwa Mwanaume kwani ni wajibu wake kukupenda. Ila ukiona hakuna upendo juu yako na upo nae ujue kwamba kuna anayependwa. Msijidanganye kwamba wanaume...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja mrembo sana. Hakuwa mrembo tu bali pia alikuwa na akili zilizoendana na urembo wake. Nilimpenda sana kwani niliona...
8 Reactions
309 Replies
30K Views
Kama una mtoto ambaye anatumia smartphone jua ameshika sumu Tena sumu iliyo expire.hizi Zama uchafu wote upo kwenye X Ni rahisi kwa mtoto kutaka kujaribu michezo ya kule.mkanye kabisa usimfiche...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu Well mim bado sijaoa ila napenda sana kufika kwenye hili tendo Takatifu kabisaa siku za usoni. Hoja yangu Kubwa au swali langu kubwa ni kwamba Mfano Mim nina kazi na Mke wangu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Niko serious maana Naona watu wengi wananiuliza kuhusu kuoa ko nimeamua kujitoa muhanga kwa hivi vogori vya jamii forum. Note:mimi naheshima zangu na no mtu mzima. ~.A...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Wako mwanaume wapuuzi wa kiwango cha Lami. Mkeo anasafiri unaleta mwingine ndani na pia unamwambia weakness za mkeo. Ukijiona uko hivyo ujue wewe ni mpuuzi sana Sent using Jamii Forums mobile app
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Hiyo ndio fact kwa wale madada wanaojifanya wao ndio kila kitu yaani utasikia huyu mwanaume kwangu ndio amefika , Utamu ninaompa ni kiboko sijui nini na vimaneno kibao. Sasa mr Zero Iq nimekuja...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Hata wanawake mnaruhusiwa kuchangia. Ok ipo wakuu soma yote pls. Nilikuwa mbali na nyumbani nikakutana na binti fulani nikampenda nikamtongoza baada ya muda akanikubalia tukaanza kudate...
7 Reactions
198 Replies
20K Views
Jana nikiwa naperuzi humu jukwaani nikakutana na uzi wa mdau akidai kuwa amemlisha mke wake chakula bila mboga sababu ya tabia ya mke wake kutompokea pindi anaporudi kutoka kwenye mihangaiko akiwa...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Mimi sio mgeni huku na nakiri kuwa hii ni ID yangu ya pili. Umri na wakati wa kuoa umefika na naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mwenza ikiwezekana mapema mwakani tufunge ndoa. Sifa zangu ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi, halafu ukute mnapendana kiukweli. Tatizo ni kuweza kujua anachokiwaza mwenzio. Unaweza ukakolea na kuzama haswa lkn kumbe mwenzio anakuhadaa...
14 Reactions
116 Replies
10K Views
Habari ya Jumapili, Huwa najiuliza kila siku kwa nini wazazi wa siku hizi wako tofauti sana ki malezi ukilinganisha na wale wa siku za nyuma? Enzi zetu sisi tunakua ilikuwa ni ngumu sana kwa...
31 Reactions
332 Replies
18K Views
Huyu manzi nilimkamatia chini hapa juzi kati baada ya urafiki kutushinda ,alikuwa ananiuliza hivi kukojoa kukoje mchizi nkatake advantage. Sasa balaa akifikia kibo na mawenzi analia kilio cha...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndio kitu wanaume wanatafuta siku zote za maisha Yao mpaka wafike Miaka 80 waiter vikongwe! Wanataka mwanamke ambae NI mrembo Mtaani lakini Kituko Kitandani Kizungu: A lady in a street but a...
4 Reactions
74 Replies
9K Views
Sheria ya ajira pamoja imeweka umri wa miaka 14 kama kiwango cha chini kiumri kuajiriwa. Hivyo ni rahisi kujibu swali la iwapo mtoto anaweza kuajiriwa kama mfanyakazi za nyumbani. Kwamba anaweza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu waungwana, amani iwe nanyi, hakika muwazima wa afya tele. Leo hii mada si kwa masela peke yao hadi washariika wengine, naombeni japo kaushauli kenu kwa magumu haya niliyo nayo, maana...
2 Reactions
210 Replies
22K Views
Wasalaaam,, Niende moja kwa moja kwenye hoja,nimekuwa nikiona Wabibi,Wanawake wa Kizungu wakivinjari na Vijana wetu wenye Rasta.Sasa nashindwa kuelewa je? Hawa vijana huwa wanakodishwa...
2 Reactions
41 Replies
10K Views
Ngono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia...
25 Reactions
178 Replies
20K Views
Kuna bidada ameleta mada kwamba "yule ambae humpend ndo mume" Kuna kitu ambacho nimekiona Kwa wanawake wengi wa jf na wanawake katika jamii tunazo ishi, wanasema mwanaume kama moyo umegoma basi...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom