Raha ya kupenda upendwe

Raha ya kupenda upendwe

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,403
Ukimpenda anaekupenda raha yake ni sawa na pepo ya dunia. Hela, sura mavazi ya gharama, havina nafasi kubwa kwenye mapenzi ya kweli.

Utatambua kuwa hili ulilonalo ni penzi la kweli pale unaposoma WhatsApp, Instagram, email au sms kutoka kwake. Ikaingia mpaka chini kabisa ya moyo, ukaanza kusmile na hutaki kuifuta. Baada ya shughuli unapanda kitandani unaifungua tena na kuisoma, unairudia mpaka unapata usingizi. Hapo ni kama mmoja wenu yuko safarini.

Raha ya mpenzi akiona ujumbe kutoka kwako aujibu, akichelewa kukujibu akueleze sababu. Mnaongea kila mnapopata nafasi, hata kama mnaongea ujinga.

Raha ya kupenda upendwe, penzi la kulazimisha linachosha.
 
ila siyo upendwe na ambae hana chura![emoji849][emoji849][emoji849]

1552764894959.png
Hapa je?
 
Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda kweli tatizo lake haeleweki, sasa nikaamua nimpotezee baada ya miezi 2 kusubiria jibu. Sasahivi ananitumia sms penzi la kinafiki mara ulikuwa huna upendo wa kweli nami. Sijamjibu lolote manake moyoni kishapotea kabisa

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ukimpenda anaekupenda raha yake ni sawa na pepo ya dunia. Hela, sura mavazi ya gharama, havina nafasi kubwa kwenye mapenzi ya kweli.

Utatambua kuwa hili ulilonalo ni penzi la kweli pale unaposoma WhatsApp, Instagram, email au sms kutoka kwake. Ikaingia mpaka chini kabisa ya moyo, ukaanza kusmile na hutaki kuifuta. Baada ya shughuli unapanda kitandani unaifungua tena na kuisoma, unairudia mpaka unapata usingizi. Hapo ni kama mmoja wenu yuko safarini.

Raha ya mpenzi akiona ujumbe kutoka kwako aujibu, akichelewa kukujibu akueleze sababu. Mnaongea kila mnapopata nafasi, hata kama mnaongea ujinga.

Raha ya kupenda upendwe, penzi la kulazimisha linachosha.
Unajua thamn ya mapnz my... Wanawke kam nyny mmebak wachache sana.... [emoji122][emoji122][emoji122]

°•°Faith •Hope •Charity•°•
 
Ukimpenda anaekupenda raha yake ni sawa na pepo ya dunia. Hela, sura mavazi ya gharama, havina nafasi kubwa kwenye mapenzi ya kweli.

Utatambua kuwa hili ulilonalo ni penzi la kweli pale unaposoma WhatsApp, Instagram, email au sms kutoka kwake. Ikaingia mpaka chini kabisa ya moyo, ukaanza kusmile na hutaki kuifuta. Baada ya shughuli unapanda kitandani unaifungua tena na kuisoma, unairudia mpaka unapata usingizi. Hapo ni kama mmoja wenu yuko safarini.

Raha ya mpenzi akiona ujumbe kutoka kwako aujibu, akichelewa kukujibu akueleze sababu. Mnaongea kila mnapopata nafasi, hata kama mnaongea ujinga.

Raha ya kupenda upendwe, penzi la kulazimisha linachosha.
Kuna demu ananitaka yaani mpaka nachoka kumchenga, ukweli sitaki hata kumuona sijui tukoje wanaume tukipendwa. (tatizo lake ni kunipenda sana maana sina mpango nae na sitaki kumpetezea mida)

Kumbe wanawake hua mnapata shida mking'ang'aniwa na wanaume mlowapiga chini.
Vice versa is true
Hii nilikua sijui ila nimejua maana huyu kupe kaniganda.
 
Hasa ukipigwa chini na husband material, unaiyona future ilee inaingia kwenye drainage.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom