Ana tatizo la kupenda au kuvutika na same sex, tumsaidieje?

KABUGHA

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
351
999
Habari zenu wana jukwaa,

Mdogo wangu wa kiume 18 anatatizo la kupenda sana wanaume wenzie.

Yani anadiriki kusema mwanaume mzuri au handsome amuonapo kavaa mlegezo au anajiweka msafi anampa hamu ya kugegeda kuliko kuona paja la mwanamke.

Majuzi hivi alikuja kunitembelea so home hapa kuna watoto mapacha ambao hufanana sana na mama yao mmoja wa kike na mwingine wa kiume.

Wale watoto wakawa wanapenda sana kuja kwangu na uwepo wa dogo ukawaongezea sababu za kuja kwangu.

Chakushangaza mdogo wangu hunisifia huyu wa kiume kuliko hata wa kike mara ooh braza Mudric ni mzuri kushinda Edna ana macho, midomo na sauti nzuri balaa kwakweli najisikia furaha ninapokuwa naye sana yani nampenda balaa.

Dar kidume nilistaajabu kusikia hayo maneno kitu kilichosababisha nimdodose zaidi kujua je anamsichana au hana ndo nikaambulia hayo majibu ya kuwa anaogopa sana wanawake na anavutika sana na wanaume mahandsome au wazuri wenye dimpoz na sifa nyingine ambazo nimezoea wanaume tukizitoa kwa wanawake.

So wadau hili tatizo laeza kua limesababishwa na nini?
Na nitamsadiaje ndugu yangu huyu kuwa sawa na wanaume wengine.
 
Cha kufanya Fuatilia nyendo zake aina ya marafiki alioko nao pia isitoshe ukiwa naye akisema vitu kama ivyo mkemee kuoneshwa hupendezw nayo
 
Hapa ndipo Waswahili tunapokosea.

Nenda naye taratibu wala usimshutumu. Mfanye aone tabia yake ni ovu na haikubaliki
 
Duu asanteni kwa ushaur sema dogo ana kademu mtaani na nimejaribu kudodosa nikaambiwa huwa wanakutana sana
 
Suala la kumshaul na kumkemea nafanya sana japo indirect kuhofia asije niona adui mwisho WA siku tatizo likawa kubwa
 
Huyo ni wa kuweka mbali na watoto ana dalili zote kama sio shoga kidawa kabisa, mdogo wako anakueleza huo ujinga afu unaogopa kumuonya kwamba atakuona adui? Serious?
Subiri aje ampime huyo mtoto tezi dume ndo utajua cha kufanya
 
Hizo ni dalili za uelton john.... Na huyo ni gwiji tayari Sema anatafuta namna ya kukueleza hali yake ndio maana haishi kuwasifia ma cowboy. Huitaji kua genius kujua tayari dogo ni kuku mtamu. Cha kufanya ni moja kati ya haya ukubaliane na hali yake au ukatae ila ukubali undugu ufe. Hawa watu wapo radhi wakosane na ukoo mzima kuliko kuukosa mpini ndani ya rectum.
 
Mtafutie psychologist aongee naye kirefu na kumshauri ili kumsaidia. Pia mwambie mara kwa mara athari zote za ushoga tena huku ukiwa serious kabisa.
 
Itakuwa unafanana nae ndio sababu kapata ujasiri wa Kukueleza au kakuona Mchicha mwiba hivyo anakueleza indirectly.Kuwa makini usipende kulala nae
 
Naamin kupiga hakusaidii kumuonya mtoto hasa mwenye tabia iliyokomaa nnachotaka mm nitafute njia it atayomfanya achane na Hii tabia
Ndo mana nimeomba ushaur hapa
 
Naheshimu mawazo yenu hasa wale waliosema nimtafutie sociologist
 
Naeashukuru sana kwa mawazo yenu hasa wale waliosema nimtafutie psychologist.
Kiufup nimegundua tabia ipo shuleni kwao anakosoma kwa kua ni boarding from f1 mpaka sasa f5 .
Nimepanga kwenda shuleni kwao nikiongee na walimu wake tuone atasaidiwa vip yeye pamoja na wenzie wenye hio tabia.
Maana inaonesha imekubuhu humo shuleni.
Wasalam nalog out
 
Back
Top Bottom