kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
Wako mwanaume wapuuzi wa kiwango cha Lami.
Mkeo anasafiri unaleta mwingine ndani na pia unamwambia weakness za mkeo.
Ukijiona uko hivyo ujue wewe ni mpuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeo anasafiri unaleta mwingine ndani na pia unamwambia weakness za mkeo.
Ukijiona uko hivyo ujue wewe ni mpuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app