Swali kwenu ninyi wadada

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
672
687
Habari wakuu, polen kwa mihangaiko ya kutwa nzima,,

Hivi mfano siku ya harusi kabisa bibi harusi ikatokea akapigwa kofi kali/zito kwenye process ya kulishana keki baada ya kumtisha tishabwana harusi then ghafla bwana harusi akakasirika na kumzaba kibao bib harusi mbele ya umati nikipi hasa ewe mdada wa kiTanzania unaweza kufanya??

Uzi tayari hivyo,

nawasilisha mada na kuwakariibisha wachangiaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom