Leo nilikua naingiza Nyimbo kwenye banda 1 la stationary nilimkuta Dada m1 very beautiful.. Japo akili yangu niliwaza lazima atakua na mtu tu. Nilikua nahamisha Nyimbo kutoka kwenye simu kupeleka...
Habari wanajamiforum?
Leo nimeamua kuleta somo linalohusu umuhimu wa kuhonga ktk mapenzi.
Watu wengi hawaelewi umuhimu wa kuhonga kwenye mapenzi na kuanza kufikiria mambo mabaya naomba...
Direct kwenye mada..
Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano...
NASEMA NA WEWE
Usiyejua maana ya upendo kutwa kucha unamfanya mwenzio kama kinanda anakulilia wewe na wala hujali thamani ya machozi yake. Siku zako zinahesabika ipo siku na wewe utalia zaidi...
Habari za muda huu wana Jf,
Kwanza niwapongeze ndugu zetu mliofika jana uwanja wa taifa kuipa support ya nguvu timu yetu ya taifa [emoji1241].....
Back to the topic!
Naomba kuuliza hivi ni...
Wanaume wenzangu kama una mpenzi wako na mpo kwenye mahusiano zaidi ya mwaka lakini hata siku moja hajawahi kujamba mbele yako basi tambua kwamba kuna vitu vingi anakuficha.
Jiulize kama tu kitu...
Wadau ninavyoandika uzi huu nawaza leo tena sijui atanitokea ndotoni sura yake huwa siioni namuona akiwa ufukweni tu sura anajificha sana.
Kila akinitokea asubuhi najikuta nimejichafua bukta Kwa...
Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake
Why people cheat and the tell-tale signs to look out for
Sarah Carty,Yahoo Style UK 19 hours ago
Certain personality types are more likely to cheat. [Photo: Getty] Affairs are more common than...
Najua kuna wengine waongo waongo watasema bado wanahongwa laki na kuendelea lakini ukweli ni kuwa kwa hali halisi na uhakika kwa sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa...
Mi ni mfuasi wa huyo jamaa ktk akaunt yake ya Instagram. Katika kuperuzi huko nikakutana na mada hii ambayo ni janga kubwa kwa vijana. Nimekuwa nikisoma malalamiko haya humu, idadi kuwa ya vijana...
Mwanamke atakudanganya kupitia make-up, photo angles, filters. Uongo kuwa amekutana na mbôœ 6 wakati ni zaidi ya 20
Sasa kwanini na wewe usimdanganye?
Hakuna anaye play fair kwenye game ya...
Hakuna kiumbe ambaye anayeitwa shetani wengi mlishindwa kuelewa kwa usahihi ile stori kuhusu malaika mkuu kutaka kufanana na MUNGU na kisha kutupwa huku duniani na kuwa shetani..ukweli wa Mambo Ni...
Hii tabia imekithiri kwa wadada wengi sana, unamtongoza mwanamke anakukubalia unakua nae kwenye mahusiano lakini kabla hajakupa mautamu anaanza kukupiga mizinga mara nina shida hii mara nina shida...
Wakuu hbr,
Hivi unajua kuwa binadamu hasa mwanaume hutumia AKILI KUBWA SANA wakati anapotaka kumpata mwanamke wa kuingia nae ktk mahusiano?
Lakini pia Mwanamke ni moja ya Nafasi yake ngumu ktk...
Kuna jambo ambalo me huwa nafikir then sipati jibu la uhakika, kuhus hawa dada zetu wenye tabia ya kuweka pin puani.Hivi kwa mwanamke anajielewa anaweza fanya ujinga kama huo wa kuweka au kutobo...
Kumekua na usemi hasa tukiwa ktk vijiwe na au pale tunapokutana na washkaji, huwa tukipiga story za madem zetu kuwa tumewapiga bao kadhaa na wengi hujinadi kwa kupiga bao7 mara 5 na kadharika hasa...