Wanawake mnatabia ya kutunyima uroda kwa kisingizio kwamba mmechoka au mmkiwa tumewakwaza hata kiduchu. Nawaambia ukweli huwa mnatukera zaidi ya kuwekewa pilipili machoni... msije siku mkashangaa...
Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo...
Kuna mtu anamtumia sms mpenzi wangu anamwambia “ndege wafananao huruka pamoja”... kama uko humu mtumie na nyingine umwambie jinsi mtakapaa pamoja kwenda ahera siku tego langu nililoandaa...
Wakuu habari zenu.
Muda kidogo nilipiga deal flan na limelipa nimeingiza 25M kwa mtaji wa 2M tu kwa muda wa miezi miwili.
Nimetenga 6M kwa kure-invest, 8M for savings, 5M for normal expenses...
Wakuu najua Kuna watu watanidhikaki lakini nimepewa agizo na Baba Kua Dada asitoke nyumbani usiku! Naombeni mnipe mbinu za kumlinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mbahili mno yani mpaka mwenyewe najishanga hii tabia nimerithi kutoka wapi yani hata mke akiniomba hela hapati mpaka nimsimange vya kutosha na hatapata kwa wakati hata kama jambo lenyewe...
Ndugu zangu wana JF. Nawasalimia wote kwa mpigo.
Ni katika harakati zangu za tafiti za kisayansi. Leo nawaletea utafiti wangu niliouanza mwaka 2001 mpaka 2017.
Kwanza nimetumia scientific...
Writer: Unknown
My first love was a moonlight to chase darkness
She was a sweet orange to perish bitterness
My only golden happiness to execute sadness
She was only one to make me not hopeless
My...
Hello guys,
Nakumbuka tukiwa O-level mwishoni, kulikuwa kuna couple moja bomba kabisa ambayo kwa akili za kipindi kile kiukweli tulikuwa tunaitamani,
Maana ilikuwa na show-off inayobamba hasa...
Ukishafikia stage hiyo basi ujue hamna kitu hapo, mahusiano hayana afya muda wowote lolote laweza kutokea aidha kifo, kuwa zezeta au kuharibikiwa moja kwa moja
Habarini za muda huu wanajf,,
kuna kitu kinanitatiza sana hasa katka ulimwengu huu wa sasa ambapo tunaona hali inazidi kuwa mbaya tu kila kukicha,tunashuhudia ndoa nyingi zikivunjika wanawake...
# Repost. suzanbernardtz
Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye wakati tukisokotana ikifika muda wa yeye kumwagika alikuwa anapiga kelele sana hadi ilikuwa inabidi kumziba mdomo...
"Awesome God"
(originally by Rich Mullins)
When He rolls up His sleeves
He ain't just puttin' on the Ritz
(our God is an Awesome God)
There is thunder in His footsteps
And lightning in His fists...
Wadada wa siku hizi mnakera sana, yaani mnchakulia vitu kirahisi rahisi tu!
Mtu unakaa mwenge, nakutumia elfu hamsini ili uje getto Tabata tutazamane tu? Hiyo biashara ipo kweli Dunia hii?
Getto...
Vijana WEngi tunaingia kwenye mahusiano bila kujiuliza haya maswali yafuatayo,
1.kwanini naingia kwenye mahusiano,ni mkumbo,au wakati unaenda mbio(umri),au shinikizo toka kwa jamii(wenzio wameoa...
Mwanamke mmoja nchini Zimbabwe alipona kubakwa baada ya mbakaji kushindwa kumuingilia. Dada huyo alipewa lifti na jamaa mmoja mjini Bulawayo akiahidi kumfikisha mahali alipokuwa anaenda. Lakini...
Miaka hii ya karibuni vijana wengi tunaishia kuzalisha dada zetu na kukimbia, vijana wengi saiv hatutataki kusikia kuhusu ndoa kabisa.
Sasa uzi huu ni maalum kwa sisi mabachelor ambao hatujaoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.