Tuwaeleweje dada zetu mnaoweka pini puani?

Tuwaeleweje dada zetu mnaoweka pini puani?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Kuna jambo ambalo me huwa nafikir then sipati jibu la uhakika, kuhus hawa dada zetu wenye tabia ya kuweka pin puani.Hivi kwa mwanamke anajielewa anaweza fanya ujinga kama huo wa kuweka au kutobo pua??

Ukifuatilia kwa makin utajua kuwa wenye hii tabia ni malaya, machangudoa, baamedi nk haya ndo mambo yao.

Na kwa mwanaume ambae anajielewa sidhan kama ataruhusu mpenzi/ mke wake afanye ujinga wa kiwango cha lami kma huu.

Mwanamke anaejielewa na mwenye akili na ambae ni mke mtarajiwa hawez toboa pua. Kwangu mimi wanawake wa dizain hii ni wale ambao hawajatulia sijui nyie maoni yenu mnasemaje hili jambo...



Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom