Je, ulitumia njia gani kumpata mpenzi uliye naye?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Wakuu hbr,

Hivi unajua kuwa binadamu hasa mwanaume hutumia AKILI KUBWA SANA wakati anapotaka kumpata mwanamke wa kuingia nae ktk mahusiano?

Lakini pia Mwanamke ni moja ya Nafasi yake ngumu ktk maisha yake pale anapotakiwa kuanzisha mahusiano na Mwanaume hupata wakati mgumu sana ingawa inategemea na mazingira na mhusika aliyemuomba kuwa nae ktk mahusiano ya kimapenzi.

Je, ni kwa vipi tunaweza kujikumbusha mbinu tulizowahi kuzitumia kumu-win mpenzi wako akaweza kukubali kuwa na wewe maishani au ktk tu mahusiano ya kimapenzi plus michepuko?

Mimi nilimuomba namba ya simu akakubali nikawa namuweka bize through chating na kumsogeza karibu sana mpaka akawa ana-feel trend ya ukaribu wangu kwake na baadae sana nikamuomba akiwa tayari siku anayofikiri yeye atakuwa yupo na furaha sana kuzidi siku zote basi aniambie na mimi nimuongezee Furaha yangu na ataijumlishia ktk moyo wake huko azidi kufurahia.

Basi alipokaa muda akaniambia jioni kuwa leo nina furaha sana nikamuambia ok tukutane somewhere nikuongezea furaha yangu niliyokupromise nikamuelekeza place nzuri akaja nikampa yote ya moyoni nilishangaa kuona na yeye akawa surprised sana akadai hakutegemea kama naweza kuwa na uwezo wa kumteka kiasi kile maana tangu nilipom-promise last time yani alijkuta akitengeneza ni ktu gani ninachotaka kumpa aweze kufurahi zaidi na wala hakufikiria hilo kabisa basi ikabidi atulie akanipa jibu zuri mpaka sasa ni My Best friend na najivunia kuwa na akili kubwa ndani ya familia yangu inshort, she is my mentor.

Karibuni tupeane tajiriba.
 
Hapa nimekaa nafikiria niandike mwanamke yupi manake ninao 6 kwa sasa. Halafu wote siwapendi kuliko ninavyompenda mpenzi wangu hela(money,mula a.k.a mapenne) huwashangaa wanaume wanao honga hela

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wakuu hbr? hivi unajua kuwa binadamu hasa mwanaume hutumia AKILI KUBWA SANA wakati anapotaka kumpata Mwanamke wa kuingia nae ktk mahusiano? Lkn pia Mwanamke ni moja ya Nafasi yake Ngumu ktk maisha yake pale anapotakiw kuanzisha mahusiano na Mwanaume hupata wakat mgumu sana ingawa inategemea na mazingira na mhusika aliyemuomba kuwa nae ktk mahusiano ya kimapenzi.
Je ni kwa vp tunaweza kujikumbusha mbinu tulizowah kuzitumia kumuwin mpenz wako akaweza kukubali kuwa na wewe maishani au ktk tu mahusiano ya kimapenz plus michepuko?

Mimi nilimuomba Namba ya simu akakubali nikawa namuweka bize through chating na kumsogeza karib sana mpk akawa anafeel trend ya ukarb wang kwake na baadae sana nikamuomba akiwa tayari siku anayofikir yeye atakuwa yupo na Furaha sana kuzid siku zote basi aniambie na mimi nimuongezee Furaha yng na ataijumlishia ktk moyo wake huko azid kufurahia basi alipokaa mda akaniambia jion kuwa leo nina furaha sana nkamuambia ok tukutane somewhere nkuongezea furaha yng nliyokupromc nkamuelekeza place nzur akaja nkampa yote ya moyon nlishangaa kuona na yeye akawa surprised sana akadai hakutegemea kama naweza kuwa na uwezo wa kumteka kiasi kile maana tangu nlipompromc last time yan alijkuta akitengeneza ni ktu gan ninachotaka kumpa aweze kufurahi zaid na wala hakufikiria hlo kabsa basi ikabid atulie akanipa jibu zuri mpk sasa ni My Best frnd na najivunia kuwa na Akili kubwa ndani ya familia yng inshort, she is my mentor.
Karbun tupeane tajiriba.

Sent using Jamii Forums mobile app

:D:D mkuu mie nilitumia njia ya unafiki bwana ake akifanya ivi nawashwa mdomo nauza mechi mwisho wa siku akaona jamaaa ake anamzingua akanipenda mm bure alinambia "natamani kukukabidhi moyo wangu tatizo wewe ni mbea" kahhhh tangu siku io nilibaki njia kuuu umbea sio dili

hii story niliisoma kwenye gazet bado naifanyia utafiti
 
Waambie mods waedit heading yako, ukisema mpenzi unakosea, sema wapenzi mana 99% yetu sote tumewahi/tuna wapenzi zaidi ya 1.
 
Wote niliowatongoza niliwakosa. Ila nikitengeneza mazingira huwa wanaingia kingi. Kwa hiyo, Hiyo ndio strategy yangu. Na uzuri ipo kisayansi kwamba most of our communications are through non-verbal clues.
So, wadada mkiona nimelike comment yako ndio nimeanza hivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu hbr? hivi unajua kuwa binadamu hasa mwanaume hutumia AKILI KUBWA SANA wakati anapotaka kumpata Mwanamke wa kuingia nae ktk mahusiano? Lkn pia Mwanamke ni moja ya Nafasi yake Ngumu ktk maisha yake pale anapotakiw kuanzisha mahusiano na Mwanaume hupata wakat mgumu sana ingawa inategemea na mazingira na mhusika aliyemuomba kuwa nae ktk mahusiano ya kimapenzi.
Je ni kwa vp tunaweza kujikumbusha mbinu tulizowah kuzitumia kumuwin mpenz wako akaweza kukubali kuwa na wewe maishani au ktk tu mahusiano ya kimapenz plus michepuko?

Mimi nilimuomba Namba ya simu akakubali nikawa namuweka bize through chating na kumsogeza karib sana mpk akawa anafeel trend ya ukarb wang kwake na baadae sana nikamuomba akiwa tayari siku anayofikir yeye atakuwa yupo na Furaha sana kuzid siku zote basi aniambie na mimi nimuongezee Furaha yng na ataijumlishia ktk moyo wake huko azid kufurahia basi alipokaa mda akaniambia jion kuwa leo nina furaha sana nkamuambia ok tukutane somewhere nkuongezea furaha yng nliyokupromc nkamuelekeza place nzur akaja nkampa yote ya moyon nlishangaa kuona na yeye akawa surprised sana akadai hakutegemea kama naweza kuwa na uwezo wa kumteka kiasi kile maana tangu nlipompromc last time yan alijkuta akitengeneza ni ktu gan ninachotaka kumpa aweze kufurahi zaid na wala hakufikiria hlo kabsa basi ikabid atulie akanipa jibu zuri mpk sasa ni My Best frnd na najivunia kuwa na Akili kubwa ndani ya familia yng inshort, she is my mentor.
Karbun tupeane tajiriba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilimwaminisha na vingi sana kwanza dada angu ndo kila kitu kwangu nilimpanga nikamwambia dada kuna mtoto namuelewa ila jinsi ya kumuanza ndo kazi sasa nakupa no. Yake umcheki watsap then uwe km unamuuliza wewe ndo wifi mbona kwenye simu ya mdogo wangu umetawala sana mpaka wallpapee upo wewe daaah sikufikiria kama mtoto nae alikuwa ananielewa asee basi mambo yakaanzia hapo mpaka leo tuna miaka mitatu nimejitahid sana kudum nae na huenda ndo future wife na hata michepuko wanajuwa kiboko wangu yupo.. Eazy like that
 
Silaha yangu kubwa ni miamala ya tigo pesa niseme tu u kweli.
Hayo mambo ya kuchukua simu na kuanza kuchat siyawezi. alafu sina muda wa kumtafuta mwanamke kwenye simu. Atanitafuta mwenyewe.
Kuna wakati wanalalamika kuwa sina mapenzi. Ila sijali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mjinga wewe...na ukiwatumia miamala kama nauli wakati mwingine hawafiki..ila usikome
 
Mkuu nimecheka knoma I kabidi uanze kijitetea sasa kuwa wewe sio mbea ila mahaba tu ndio yalikufanya uwe mfungukazi hta kwa yasiyokuhusu.

Back
Top Bottom