Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajamvi?!!!! Leo nimeona niulize haka kaswali kidogo.. Hivi ni sahihi kwa mwanamke kuomba kugegedwa kila siku?!! Je hii hali itakua inaashilia nini labda Je atakua na matatizo ya pepo la...
4 Reactions
207 Replies
27K Views
Napenda sana kusaidiana na watu awe ndugu jamaa au rafiki, lakini nikija kwenye suala la kukupa usafiri na mafuta yake siwezi. Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja. Ishu ni kwamba ukija...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Kama mzazi, Dada au Kaka nadhani ni kitu kizuri kama utajua Dalili kua mwanao anafanyiwa ukatili. Tatizo kubwa hapa nikuwa wengi wanaofanyiwa hivi hufanyiwa na watu wao wa karibu, watu ambao wewe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Za sa hizi wana jf mimi Nina swali? MF.. Umeamua kuachana na mahusiano amabyoa hanaya faida ukaamua kumove in na maisha yako lakini ikatokea unarafiki tu ambaye mlisoma nae. Shule moja na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadau, Tushirikishanae wenye uzoefu na wanaojua saikolojia ya mwanamke anaepanga kukupiga kibuti, me kuna dalili zifuatazo nimeziona kwa mpenzi wangu 1. Amekua mkali sana, nikimuuliza jambo lolote...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume naishi kahama shinyanga mwenye miaka 39 mi mweusi sio sana ni mlefu wastan tu sio mnene wala mwembamba dini yangu mwislam situmii kilevi chochote Natafuta mwanamke wa kuishi nae...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu ni wakati mabadiliko mengi ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii hutokea. Mabadiliko ya kibailojia yanayoleta kubadilika kwa homoni hupelekea kuanza. Wavulana huanza kuota...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Kumekuwa na ubishani kwamba yupi ni sahihi kuoa au kuolewa nae kati ya mtoto wa shangazi, mtoto wa baba mdogo, mtoto wa kike wa baba kwa mwanamke mwingine na mtoto wa kike wa mama kutoka kwa baba...
1 Reactions
178 Replies
29K Views
UPENDO Ndoa lazima iwe na upendo usio na mipaka Kwa pande zote mbili, (unconditional love) ukiingia kwenye ndoa Kwa kumpendea mtu kitu fulani siku hiko kitu kikiwa hakipo upendo utaota mbawa...
2 Reactions
5 Replies
961 Views
Wadau sitaki kuongea sana.. Wewe unaonaje apo kati ya kulea mtoto na kusimamia gari lako unaloliendesha kila siku ni kipi kinakuwa na gharama kubwa? Inategemea na gari...sawa!!sema kulingana na...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Wanawake mnatakiwa mjue kitu kimoja unapotongozwa usilinge na kujiona wewe mzuri sana wengine huwa wanachukua mazoezi wasije feli pale wanapo kutana Na watoto wakali, Sijui kama tumeelewana...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Sometimes life huwa linakwenda vile ambavo hatutarajii but one of the biggest strength of human being lies on is friendship, ndo maana kila unapokwenda unajitahidi kupata rafiki hata kama ni mgeni...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
NASEMA... Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Sio wamama wote ila Ni wale ambao Wana vaa nguo za kimtego mtego nikikutana nao sijui huwa natoa ujasiri wapi wa kuwakonyeza na kuwatabasamia.yaani MUNGU anisaidie Sana niache hii tabia nimekuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahusiano ya ndoa Kama yanafikia hatua hiii hapo ya kutolala kitanda kimoja duh Basi kweli kazi ipo... Mapenzi ya MUNGU yatimizwe hapa duniani Kama mbinguni yaani kunakuwa hakuna namna wajibu...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Tumia vyema ujana wako kwa kuwala type mbali mbali za mademu ili ata ukizeeka usije kujawa na tamaa, Umepewa nguvu na Akili ya kuweza kumudu kila game sasa kwa nini ujivike ulokole wakati mwili...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Usiforce... Usitumie akili nyingi nguvu nyingi pesa nyingi mbinu nyigi mpaka watu wengi kumufanya mtu flani akuelewe kwamba umeridhia kua naye na unamupenda kweli kweli..... Au kutaka mahusiano...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Wanaume acheni ujinga hvi demu ukishamla kuna haja ya kuendelea kumpa pesa,?? Wajinga ndo wanaliwa hapa. Demu kama hujamla kumpa pesa ni contant "k" kwa tulio soma calculus tunajua. Sasa wewe...
7 Reactions
87 Replies
8K Views
Wadau wazima? Je, wanawake wasipokuwa na hela hamuwaoi? Kwa maana nimeona wanaume wanasema kuoa mwanamke asiye na hela atakuwa mzigo tu ila mkisaidiana maisha yataenda vizuri na mtasaidiana...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
Yaan mtu anaweza kosea namba ndo ukawa mwanzo wamahusiano wengine wanaenda mpaka kufunga ndoa, wengine kwa sababu mnakua mnakutana kutana sehemu ya kula ndo unakua mwanzo wa mahusiano Wengine...
1 Reactions
1 Replies
823 Views
Back
Top Bottom