Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,098
Kumekua na usemi hasa tukiwa ktk vijiwe na au pale tunapokutana na washkaji, huwa tukipiga story za madem zetu kuwa tumewapiga bao kadhaa na wengi hujinadi kwa kupiga bao7 mara 5 na kadharika hasa huwa najiuliza hivi kweli kuna binadam anauwezo wa kukojoa bao 6 au zaidi? Au ndo mastory ya kijiweni tuuu. Ebu tujuzane uenda sisi wenye kupiga zile kama za taifa stars za jana sio mashababy?? 🤨
Sent using IPhone X
Sent using IPhone X