Wachawi mbona hampigi zongo

Wachawi mbona hampigi zongo

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,745
Reaction score
25,678
Usiforce...
Usitumie akili nyingi nguvu nyingi pesa nyingi mbinu nyigi mpaka watu wengi kumufanya mtu flani akuelewe kwamba umeridhia kua naye na unamupenda kweli kweli.....
Au kutaka mahusiano hayo yaendelee... Ninasema acha (stop)
Tofauti na kuishishwa thamani yako aliyokupa Mungu kwa kulazimisha na kuforce kuendelea na hayo mahusiano lakini pia tambua unatengeneza mungu mtu wa kumwabudu kila siku... Kwa lipi haswa.. Kwa kukosa nini haswa maana hata kama ingekua msaada wa serikali tunhekuchangia kwa siku kadhaa kisha tingekusahau kwamba kuna flani tulimuchangia msaada... So why wewe kila siku umekua wa kuset mahusiano tu..
Ninasema acha (stop)
Inawezekana kabisa hayo mahusiano yako hivyo kwa kua Mungu anayekupenda anataka uelewe kwamba siyo mapenzi sahihi kwako mwisho wake ni mubaya sana hivyo hayakufai achana nayo...
Ona sasa umefikia hatua ya kuwazia kutumia wanganga wa kienyeji au tiari umeshashika dawa je kuna lolote umeliona badiliko...
Huna kazi moja tu wewe hapa duniani ya kumufanya mtu akupende hata kama sawa alidai anakupenda alikua kaingiwa na shetani tu ndio alikujibu kwamba anakupenda au ndiye aliyekutongoza lakini ukweli yeye hajawahi kukupenda wala hatakupenda....
Leo nasema acha (stop)
Muda ulioupoteza kwa kumuwaz na kumufanya akuelewe kwamba unamupenda umepelekea kuwakosa watu 10walikua watu wa faida na wazuri kwako ambao wangekupa zaidi ya furaha saivi usingekua na muda wa kuja dm kutaka nikushauri.... Ungeniona kama najichosha tu kupost hizi post
Lakini kwa kuona kama hakuna mtu mwingine zaidi yake leo umeziba nafasi za watu wa kukutoa kwenye hatari hiyo...
Wewe hufikilii hata kwa akiri yako ni mtu gani huyo haipiti siku vizuri na kwa amani hata kama umemaliza ki sex naye saivi baada ya nusu saa tu visa vinaanza... Mara achati na x wake mara asijibu tex yake mara umwone kapost mtu ambaye haeleweki mara asafiri bila kuaga mara ajifanyie tu jambo bila kukushilikisha....
Hayo ni majibu ya kua huyo siyo yule ambaye utakua naye kwa ajili ya maisha yako awe baba au mama wa watoto wazuri.....
Acha (stop) jiamini na jilaumu kidogo kwa muda ulio upoteza kwake....
 
Back
Top Bottom