Mahusiano,mapenzi,urafiki

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,195
46,656
Mahusiano ya ndoa Kama yanafikia hatua hiii hapo ya kutolala kitanda kimoja duh Basi kweli kazi ipo...
Mapenzi ya MUNGU yatimizwe hapa duniani Kama mbinguni yaani kunakuwa hakuna namna wajibu uliubeba mwenyewe kinachobaki Ni wewe kufanya ibada kwa wingi..
Urafiki wa kawaida Ni Bora Sana kwani mtacheza michezo mbalimbali Kama vile tennis,draft, PlayStation n.k na hatimaye kupata faraja isiyo na kifani isiyo na mwisho Kama ukimpata rafiki mwema
1553538568793.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom