Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,199
Tumia vyema ujana wako kwa kuwala type mbali mbali za mademu ili ata ukizeeka usije kujawa na tamaa,
Umepewa nguvu na Akili ya kuweza kumudu kila game sasa kwa nini ujivike ulokole wakati mwili unatamani,
Unajifanya mwema ujanani unakuja kufa uzeeni na dhambi ya Tamaa,
Sawa uzinzi ni dhambi, "sio kwangu" lakini utatubu ukiwa uzeeni tamaa ikishapotea utasamehewa na kufa ukiwa msafi.
CC Zero IQ