Ukweli ni upi juu ya kuoa mtoto wa shangazi/baba mdogo.....

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,904
Kumekuwa na ubishani kwamba yupi ni sahihi kuoa au kuolewa nae kati ya mtoto wa shangazi, mtoto wa baba mdogo, mtoto wa kike wa baba kwa mwanamke mwingine na mtoto wa kike wa mama kutoka kwa baba mwingine?
Kwa upande wako ni yupi kati ya hawa unaweza oa/olewa nae na kwanini?

Tiririka.
 
Hivi kuna tofauti kati ya kuoa na kuchapa eeh? Maana nimeosha sana....
 
kwa sheria ya dini ya kislam hutakiwi kuoa au kuolewa na mtu uliechangia nae ziwa the rest unaoa tu.

ila kwa akili ya kawaida tu unaolewaje na ndugu yako kwa mfano??
Kuna jamii zinadai ndugu uliechangia nae ziwa unaweza oa, lkn ndugu uliechangia nae damu huyo ni ndugu..

Unaolewa ili kutimiza lengo la Mungu..kuujaza ulimwengu
 
Back
Top Bottom