Gari na mtoto ni kipi kina gharama kubwa ya matunzo.

Tairus

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
676
1,055
Wadau sitaki kuongea sana..

Wewe unaonaje apo kati ya kulea mtoto na kusimamia gari lako unaloliendesha kila siku ni kipi kinakuwa na gharama kubwa?

Inategemea na gari...sawa!!sema kulingana na gari ulilonalo na wa/mtoto wako.

Tairus.
.......................inategemea na age ya mtoto na aina ya gari... na mfumo wako wa maisha .

maana hata sisi maskini tusio na kazi, wakulima wadogo, mama ntilie tuna watoto... na tunawatunza. ila hatuna magari na hata tukiwa nayo hatuwezi yatunza

..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Gari liliharibika nawe huna pesa, unaliegesha gereji, mtoto akiugua, no way lazima pesa itafutwe
Wadau sitaki kuongea sana..

Wewe unaonaje apo kati ya kulea mtoto na kusimamia gari lako unaloliendesha kila siku ni kipi kinakuwa na gharama kubwa?

Inategemea na gari...sawa!!sema kulingana na gari ulilonalo na wa/mtoto wako.

Tairus.

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Acha kufananisha gari na vitu va kijinga..
FB_IMG_1553102162015~2.jpeg
View attachment 1545684708852.mp4
 
Hivi kweli unafananisha mtoto na gari?

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu naona hana mtoto kabisa
mm gari nililolinunua ni toleo la 1999, halijanisaidia lolote natafuta mteja niliuze scraper au mkokoteni
kweli utaacha kumlipia ada shule za medium uhangaiike kupiga rangi ii upige misele kwa vimwana
ngoja siku umeshika mkongoja au unaugua km vimwana utawaona au gari litakupeleka Hosp wakati huo huna chapaa una mtoto
 
Wadau sitaki kuongea sana..

Wewe unaonaje apo kati ya kulea mtoto na kusimamia gari lako unaloliendesha kila siku ni kipi kinakuwa na gharama kubwa?

Inategemea na gari...sawa!!sema kulingana na gari ulilonalo na wa/mtoto wako.

Tairus.

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Tukianza kuangalia hivi hatutafanya maisha sasa, yani ndiyo kwamba ndiyo vyuma vimekaza mpaka watoto tunawaweka kwenye mizani kufanya ulinganifu wa gharama?

Happiness is a lifestyle
 
Gari liliharibika nawe huna pesa, unaliegesha gereji, mtoto akiugua, no way lazima pesa itafutwe
Umeshawahi kukamatwa na trafki alafu gari yako ina madeni ya nyuma jumla laki mbili alafu ukaambiwa upaki pembeni?

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Jitasmini wewe tangu uzaliwe mpaka sahivi umetumia kiasi gani cha pesa za wazazi wako ndiyo uje na hiyo akili yako ya kulinganisha na fuso

Happiness is a lifestyle
Nimekulia street kiongozi..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Tukianza kuangalia hivi hatutafanya maisha sasa, yani ndiyo kwamba ndiyo vyuma vimekaza mpaka watoto tunawaweka kwenye mizani kufanya ulinganifu wa gharama?

Happiness is a lifestyle
Tatizo sio vyuma mkuu.Mipango tuu

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
inategemea na age ya mtoto na aina ya gari... na mfumo wako wa maisha .

maana hata sisi maskini tusio na kazi, wakulima wadogo, mama ntilie tuna watoto... na tunawatunza. ila hatuna magari na hata tukiwa nayo hatuwezi yatunza
 
inategemea na age ya mtoto na aina ya gari... na mfumo wako wa maisha .

maana hata sisi maskini tusio na kazi, wakulima wadogo, mama ntilie tuna watoto... na tunawatunza. ila hatuna magari na hata tukiwa nayo hatuwezi yatunza
Great man umeongea point...kuna mtu akisikia gari na mtoto straight anawaza ada ya chuo.

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Kwa wewe mwanaume gari lazima lifanane na mtoto kwa sababu kazi yako ni kuacha matumizi Ila kwa mwanamke hawezi kufananisha gari na mtoto.
Kuna wanawake wanamiliki magari..

Back
Top Bottom