WEWE ULIYETENDWA JUZI NISIKILIZE..

WEWE ULIYETENDWA JUZI NISIKILIZE..

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,742
Reaction score
25,678
NASEMA...
Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako. Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako. Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu
Maneno yangu yakae kichwani mwako daima ukumbuke kuwa Apeche Alolo
Alisemaga hili sasa nina amani nina furaha na enjoy siku zote
 
Hapo pa kujua he's the one ndo tatizo linapoanzia..!!
Mtu ana pretend mpaka unahisi dunia ni yako, vile kila kitu kinakuja ku-turn out hutoamini macho zako zote mbili..😂
MUNGU atusaidie though.!!
 
Hapo pa kujua he's the one ndo tatizo linapoanzia..!!
Mtu ana pretend mpaka unahisi dunia ni yako, vile kila kitu kinakuja ku-turn out hutoamini macho zako zote mbili..[emoji23]
MUNGU atusaidie though.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo ni magumu kuna muda natamani niachane nayo nifanye mambo mengine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo ni magumu kuna muda natamani niachane nayo nifanye mambo mengine
😂😂😂 thanks to you nimecheka walaqhii'.. Mood ilikuwa mbovu hapa khatarii.;!
Namkumbuka yule malaika wangu siamini ni nini kimetokea??
 
Back
Top Bottom