Mke wangu ananinyima haki yangu ya ndoa mwezi wa nne sasa

Yaani mke wangu kila nikimuomba tendo ananinyima nikijaribu kumpapasa napigwa kifuti eti akinipa tutamualibu mtoto ambaye ana miezi minne mpaka sasa

jamani nashindwa la kufanya juu ya hili swala binafsi naumia hasa pale ninapo kuwa na hamu alafu natolewa nje.

Hivi imekaaje hii je ni kweli tunaweza kumualibu mtoto au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe no za mkeo nimwambie ukupe papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wazima huwa hatulii wala kuchanganyikiwa kwa sababu ndogo kama hiyo. CHEPUKA kimya kimya wewe! huku ukiongeza upendo ndani ya nyumba yako hadi my wife wako ashangae! Kama unaogopa kuchepuka, basi jiunge na kile chama cha hiyari cha wale vijana wagumu (chaputa).
 
Mimba na uzazi, humsababishia mwanamke mabadiliko ya kimwili , kisaikolojia na kibaiolojia. Kama hali ngumu anapitia hadi kutokuwa na hamu ya hilo tendo. Msaidie kurejea ktk hali ya kawaida badala ya kumshutumu na kumuanika hapa JF, Yawezekana baada ya kujifungua haujampa huduma muhimu za kumsaidia, vyakula vya kuongeza maziwa au huduma zingine. Yawezekana pia hujafunga nae ndoa rasmi au unadaiwa ukweni. Ktk hali ya mkeo, jitahidi kuwa karibu nae zaidi na kumsaidia ili hamu ya tendon irejee

Back
Top Bottom