Najiuliza kwamba, masekretari wote wanatembea na mabosi?

mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,258
2,840
Wanawake kweli hawapendani utakitaka kujua nenda kwenye ofic mkute secretali hasa ww mwanamke mwenzake utaona anavyokujib
 
Ni kweli karibu 99.9% wako hivyo na moja ya kielelezo ni tabia zao. Wengi wanajiona ndio wasemaji wa ofisi/kampuni.
 
Hapana mkuu. Niliwahi kuwa secretary kwa miaka takribani 4 jijini Dar na sikutembea na boss wala mfanyakazi mwenzangu
Niliajiriwa kama secretary na assistant administration
Itakuwa labda ulikuwa mdogo wa Damu wa Bosi. Dada zetu huwa mnaumizwa sana kwenye hizo nafasi.
 
Itakuwa labda ulikuwa mdogo wa Damu wa Bosi. Dada zetu huwa mnaumizwa sana kwenye hizo nafasi.
Hapana hakuwa ndugu yangu wala nini, ila mi nna principle zangu nnapokuwa kazini, na hali hiyo ndo ilinisaidia kudumu kwa kipindi kirefu kuliko secretary yoyote katika historia ya hiyo kampuni, na niliacha kazi pale mambo yangu yalipokamilika
 
Hongera. Wewe itakuwa unaangukia kwenye hao wachache(1%) wasiotafunwa na mabosi zao. Huu mchezo umekithiri sana kwenye maofisi.
 
Hongera. Wewe itakuwa unaangukia kwenye hao wachache(1%) wasiotafunwa na mabosi zao. Huu mchezo umekithiri sana kwenye maofisi.
Na nashukuru sana hali itaendelea kuwa hivyo kwasababu nimeshaachana na kazi hizo rasmi.
Ila naamini watakuwepo na wengine pia ambao wanajiheshimu
 
Back
Top Bottom