"special kwa wadada"

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,868
6,480
Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka

Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu siku ya kwanza umeshinda unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni kumbe wao wanakutazama tu na kukupimia wala hawakwambii kitu.

Siku ya tatu wanakwambia leo ni zamu yako kupika, unaingia jikoni unaona kila kitu kigeni
vya huku unaweka kule, vya kule unaweka huku (yaani hujui kupika chochote )

Sufuria unashika kama umeshika power bank, unapika na lipstick, mdomo mwekunduuu utafikiri mtoto wa jini katoka kufundishwa kunyonya damu tena huku umevaa saa, umevaa culture zimejaa nusu ya mkono, umevaa mini skirt kama wafanyakazi wa emirates

Msosi wa wakwe huwezi kupika. ukiambiwa hufai kuolewa unavuta mdomo utafikiri umenyimwa usb cable ubust smartphone yako
unaanza kulalamika wakwe hawakupendi, unalalamika weee, unashindwa kuelewa kuwa wewe ndo tatizo.

Usitake kuolewa ukidhani mumeo atakula chips na wewe utakuwa utakula pizzas kila siku, jifunze hata kuchemsha chai basi au unadhani google wataleta app ambayo unaweka usb kwenye simu yako alafu unaielekezea kwenye sahani inaproduce msosi

Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga selfie utaishia kusema umelogwa kumbe we mwenyewe ndo mchawi

Screenshot_20190318-173315.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata Bwana, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Akagoma Sana mwishowe akaona isiwe Kesi Akakupeleka
Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu Siku ya Kwanza Umeshinda Unachati, Siku ya Pili Umeshinda Unachati Tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni Kumbe Wao Wanakutazama Tu na kukupimia Wala Hawakwambii Kitu.

Siku ya Tatu Wanakwambia Leo Ni Zamu Yako Kupika, Unaingia Jikoni unaona Kila Kitu Kigeni
Vya Huku Unaweka Kule, Vya kule Unaweka Huku (Yaani Hujui Kupika Chochote )

Sufuria Unashika Kama Umeshika Power Bank, Unapika Na Lipstick, Mdomo Mwekunduuu Utafikiri Mtoto wa Jini Katoka Kufundishwa Kunyonya Damu tena huku Umevaa Saa, Umevaa Culture Zimejaa Nusu Ya Mkono, Umevaa Mini Skirt Kama Wafanyakazi Wa Emirates

Msosi wa Wakwe Huwezi Kupika. Ukiambiwa Hufai Kuolewa Unavuta Mdomo Utafikiri Umenyimwa USB Cable Ubust Smartphone Yako
Unaanza Kulalamika Wakwe Hawakupendi, Unalalamika Weee, Unashindwa Kuelewa Kuwa Wewe Ndo Tatizo.

Usitake Kuolewa Ukidhani Mumeo Atakula Chips na Wewe Utakuwa Utakula Pizzas Kila Siku, Jifunze Hata Kuchemsha Chai Basi Au Unadhani Google Wataleta App Ambayo Unaweka USB Kwenye Simu Yako Alafu Unaielekezea Kwenye Sahani Inaproduce Msosi

JIPANGE DADA Usidhani Ndoa Ni Kama Kupiga selfie
Utaishia kusema umelogwa kumbe we mwenyewe ndo mchawiView attachment 1048917

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mjomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom