Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Wadau,
Tushirikishanae wenye uzoefu na wanaojua saikolojia ya mwanamke anaepanga kukupiga kibuti, me kuna dalili zifuatazo nimeziona kwa mpenzi wangu
1. Amekua mkali sana, nikimuuliza jambo lolote
2. Sio muongeaji kama zamani
3. Nikimuelekeza jambo lolote anaona kama namsimanga
Sent using Jamii Forums mobile app