Wanawake walioachwa nawenzetu, gonga tembea

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
724
Reaction score
625
Siku za hivi karibun nilishobokewa na manz aliyetemwa. Kiukweli Kuna kajikisrani hivi.

Usithubutu kujiona kidume ubebe uweke ndani. Fanya uchunguz wa kina. Kuna mengi Sana yaliyojificha ndan ya ndoa za watu.

Neno mke wa mtu sumu ni sumu kweli waweza bambia sumu na visirani vikakumwagikia, Kama ilivyo sumu kugongea Tena kitandan mwa mke wa mtu, vilevile kugongagonga mke aliyeachwa ukajinilikisha bila taratibu, ni hatar, fany utafut, kagua tabia, Dini na maadili jiridhishe oa, vinginevyo, mzee gonga tembea

Mod niwekee hii thread kule mmu
 
t

tuelezee yaliyo kukuta mkuu
 
Back
Top Bottom