ukikawia kulala na mwanamke wikiendi mbili za mwanzo utapata tabu sana

Zigidii

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
262
500
wadau hii hali huwa nakumbana nayo mara kwa mara.Nikitongoza mwanamke huwa nakubalika kirahisi sana.Na ndio kwenye hiyo timeframe natakiwa nimeshafanya yangu.vinginevyo nikikaa zaidi ya wiki 2 huwa nazungushwa sana.kuna mmoja nilishafukuzia mwaka mzima mpaka kuja kunipa mzigo!
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
17,777
2,000
wadau hii hali huwa nakumbana nayo mara kwa mara.Nikitongoza mwanamke huwa nakubalika kirahisi sana.Na ndio kwenye hiyo timeframe natakiwa nimeshafanya yangu.vinginevyo nikikaa zaidi ya wiki 2 huwa nazungushwa sana.kuna mmoja nilishafukuzia mwaka mzima mpaka kuja kunipa mzigo!
Mwaka mzima?

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,333
2,000
wadau hii hali huwa nakumbana nayo mara kwa mara.Nikitongoza mwanamke huwa nakubalika kirahisi sana.Na ndio kwenye hiyo timeframe natakiwa nimeshafanya yangu.vinginevyo nikikaa zaidi ya wiki 2 huwa nazungushwa sana.kuna mmoja nilishafukuzia mwaka mzima mpaka kuja kunipa mzigo!
Mwaka mzima???? Baba unataka kuzaa nae au kuonja tuu

Siyakukothamela Sonini na nini
 
T 1990 ELY

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
9,319
2,000
Mwaka mzima/mmoja tu unaona ajabu mkuu?

Mimi nilishaga wahi kufukuzia papuchi miaka minne nazungushwa tu.

Siku napewa sikuwa naamini kuwa ndo namkula huyu mtoto.

Niliunga Bamzi tatu kwa mpigo

"Enough of No Love"
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,333
2,000
Mwaka mzima/mmoja tu unaona ajabu mkuu?

Mimi nilishaga wahi kufukuzia papuchi miaka minne nazungushwa tu.

Siku napewa sikuwa naamini kuwa ndo namkula huyu mtoto.

Niliunga Bamzi tatu kwa mpigo

"Enough of No Love"
Yani nikifukuzia miaka minne, siku nikipeea mashine nachomeka nalala kabisa

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Zigidii

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
262
500
Mwaka mzima/mmoja tu unaona ajabu mkuu?

Mimi nilishaga wahi kufukuzia papuchi miaka minne nazungushwa tu.

Siku napewa sikuwa naamini kuwa ndo namkula huyu mtoto.

Niliunga Bamzi tatu kwa mpigo

"Enough of No Love"
ahahaha umetisha mkuu!
 
T 1990 ELY

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
9,319
2,000
Yani nikifukuzia miaka minne, siku nikipeea mashine nachomeka nalala kabisa

Siyakukothamela Sonini na nini
Hahahahaha.....

Mkuu hiyo siku nililala masaa machache sana.

Mtoto kila nilipokuwa namwangalia anashawishi tu na nikiwaza nimemusotea kwa miaka minne.

Aiseee!!...kuna muda nilikuwa natoa upope tu.

Hiyo siku nilipambana na sehemu niliyotokea aiseee!!

"Enough of No Love"
 
Zigidii

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
262
500
m

mvumilivu hula mbivu mkuu! ndio inavyotakiwa siku ukipata mzigo unaula kisawasawa!
 
Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
12,540
2,000
Mwaka mzima/mmoja tu unaona ajabu mkuu?

Mimi nilishaga wahi kufukuzia papuchi miaka minne nazungushwa tu.

Siku napewa sikuwa naamini kuwa ndo namkula huyu mtoto.

Niliunga Bamzi tatu kwa mpigo

"Enough of No Love"
Dah...kufukuzia kwa kizazi hiki maana yake unalipa angalau robo ya bili zake...ulikuwa unafanya hivyo Bosi?

Sent using Beretta ARX 160
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom